Africa ipo nyumba kwa kila kituWaarabu hahaha.. ndiyo waliyoleta lugha ya kiswahili na Ustaarabu ktk bara la Afrika !!
Kitu kikubwa chenye thamani kuna rasilimali
Rasilimali zetu tunafaidika nazo kwa asilimia ndogo sana!Kitu kikubwa chenye thamani kuna rasilimali
Rasilimali zinasaidia pale tunapopata viongozi wenye weredi na wasio na uroho wa maliKitu kikubwa chenye thamani kuna rasilimali
Mali huambatana na tamaa !!Rasilimali zinasaidia pale tunapopata viongozi wenye weredi na wasio na uroho wa mali
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Tamaa mbele mauti nyumaMali huambatana na tamaa !!
Nyuma ya pazia Kuna siri nzito
Nzito isiojulika na mtu mwingine zaidi ya muhusikaNyuma ya pazia Kuna siri nzito
Muhusika mkuu wa wizi wa kura ajitokeze na atuombe radhiNzito isiojulika na mtu mwingine zaidi ya muhusika
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Atuombe radhi kwa kweliMuhusika mkuu wa wizi wa kura ajitokeze na atuombe radhi
Kw kweli waTZ ni wachapa kazi na wapambanajiAtuombe radhi kwa kweli
Nalog off
Kweli kabisa,, nchi ilikuwa inawenda sikoAtuombe radhi kwa kweli
Nalog off
Siko kuzuri tulipokuwa tukielekea Kama TaifaKweli kabisa,, nchi ilikuwa inawenda siko
Siko kabisa kwa sababu ya ujinga wetuKweli kabisa,, nchi ilikuwa inawenda siko
Wetu umakini ndio utatutoa..
Umasikini gani mliyonao hebu acheni kujishusha na kulalama..Utatutoa katika umasikini
Umasikini gani mliyonao hebu acheni kujishusha na kulalama..
Kulalama lazima kwani hali ya raia mmoja mmoja ni tete sanaUmasikini gani mliyonao hebu acheni kujishusha na kulalama..
Sana sana nilishauri wafunge ndoaKulalama lazima kwani hali ya raia mmoja mmoja ni tete sana