Mkuu nikupongeze kwa style za mwendo wa reverse!!Sana? Awapi mahondaw wa kawaida tu mkuu
Kuufahamu utaufahamu tu ili unitafutie wateja huko!Mbona basi huniambii huo mzigo uliopo stoo, nidokezee kdg nipate kuufahamu..
Mkuu wa mkoa Simiyu ni nani?Sana? Awapi mahondaw wa kawaida tu mkuu
Kuufahamu utaufahamu tu ili unitafutie soko na huko!Mbona basi huniambii huo mzigo uliopo stoo, nidokezee kdg nipate kuufahamu..
Huko hakuna soko, soko lipi huku kwetu..Kuufahamu utaufahamu tu ili unitafutie soko na huko!
Reverse sometimes ni muhimu etiMkuu nikupongeze kwa style za mwendo wa reverse!!
Eti utankubali mie mteja wa kwanza !!Reverse sometimes ni muhimu eti
Nani anamjua tumpe mji atutajie jibu!Mkuu wa mkoa Simiyu ni nani?
Kwanza karibu sana kwangu mteja ni mfalmeEti utankubali mie mteja wa kwanza !!
Kwetu lipo sema nataka kupanua biashara walau nidundulizemo huko na hukuHuko hakuna soko, soko lipi huku kwetu..
Mfalme ZZ atajimwambafy na ujio mwemaKwanza karibu sana kwangu mteja ni mfalme
Mwema hulipwa fadhilaMfalme ZZ atajimwambafy na ujio mwema
Fadhila hutegemea zaidi na ukarimu wa mtu husika?Mwema hulipwa fadhila
Mtu husika atambulika kwa jina la mahondaw the great...Fadhila hutegemea zaidi na ukarimu wa mtu husika?
Great deal ni kuwa mtu safi kwenye jamii...Mtu husika atambulika kwa jina la mahondaw the great...
Jamii forum kuna majukwaa yamepoa sana sikuhiziGreat deal ni kuwa mtu safi kwenye jamii...
Siku hizi umeadimika kweli.Jamii forum kuna majukwaa yamepoa sana sikuhizi
Sikuhizi hii platform imenoga kwelikwel..Jamii forum kuna majukwaa yamepoa sana sikuhizi
Kwelikweli ni neno lenye muunganiko wa kweli mbiliSikuhizi hii platform imenoga kwelikwel..