GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Mbili, tano, tano, hii ni code ya TanzaniaKwelikweli ni neno lenye muunganiko wa kweli mbili
Tanzania ni nchi ambayo iko poa sana, japo sina mkwanja ila nafurahia amani na upendo vilivyomo ndani ya nchi yangu..
Yangu furaha ni kuona familia ndugu jamaa na mararafiki wana amani, upendo na wanabarikiwaTanzania ni nchi ambayo iko poa sana, japo sina mkwanja ila nafurahia amani na upendo vilivyomo ndani ya nchi yangu..
Wanabarikiwa watu wote wenye kuwatakia ndugu zao heri kwenye maisha kama ufanyavyo wewe..Yangu furaha ni kuona familia ndugu jamaa na mararafiki wana amani, upendo na wanabarikiwa
Wewe ni mtu muhimuWanabarikiwa watu wote wenye kuwatakia ndugu zao heri kwenye maisha kama ufanyavyo wewe..
Wewe umesema sina budi kukushukuru mpendwaWanabarikiwa watu wote wenye kuwatakia ndugu zao heri kwenye maisha kama ufanyavyo wewe..
Muhimu sana kuendeleza huu uzi hadi mshindi apatikane kitu ambacho ni kigumu sanaWewe ni mtu muhimu
Sana nimekua nikikaribia kuchukua ushindi jamaani..Muhimu sana kuendeleza huu uzi hadi mshindi apatikane kitu ambacho ni kigumu sana
Jamaani naomba ujue huu uzi hautakuwa na mwishoSana nimekua nikikaribia kuchukua ushindi jamaani..
Mwisho lazima uwezo, nitawarithisha watoto wangu waendeleze comments zangu kwenye huu uzi.Jamaani naomba ujue huu uzi hautakuwa na mwisho
Uzi huu hauna makuu ni kujiendelezea na kaneno ka mwisho saaafi kabisaMwisho lazima uwezo, nitawarithisha watoto wangu waendeleze comments zangu kwenye huu uzi.
Safi Kabisa SIMBA ilivyo katishwa safari...Uzi huu hauna makuu ni kujiendelezea na kaneno ka mwisho saaafi kabisa
Safari bado sana wanasubiria msimu ujao, ulipotea mida flani karibu tena tuchitchatikeSafi Kabisa SIMBA ilivyo katishwa safari...
Chatike hii ni lafudhi yako yenye Lahaja ya Born city !!Safari bado sana wanasubiria msimu ujao, ulipotea mida flani karibu tena tuchitchatike
City maana yake mjiChatike hii ni lafudhi yako yenye Lahaja ya Born city !!
Mji uliyojaa umbeya na Fitina..City maana yake mji
Mji uliopo unaitwaje?City maana yake mji
Fitina huambatana na majunguMji uliyojaa umbeya na Fitina..
Majungu si mtajiFitina huambatana na majungu
Unaitwaje wakati haukuwepo kwenye tukioMji uliopo unaitwaje?