Viuendeleze mpaka atakapopatikana wa mwinshoVitukuu vyangu lazima huu uzi vije viuendeleze.
Mwisho kabisa mshindi lazima atoke upande wangu..Viuendeleze mpaka atakapopatikana wa mwinsho
Wangu wa mwisho kuzaliwa ni kitinda mimba siye huita Angoudi !!!Viuendeleze mpaka atakapopatikana wa mwinsho
Wangu wa ubani nampenda sanaMwisho kabisa mshindi lazima atoke upande wangu..
Sana sana naenjoy haswa kupendana nawe!Wangu wa ubani nampenda sana
Nawe sikupendi sijui umetokea wapiSana sana naenjoy haswa kupendana nawe!
Wapi ulikusudia kulimwaga huba lako adhimu kwa muhibu ?Nawe sikupendi sijui umetokea wapi
Muhibu maana yake ni nini jamani?Wapi ulikusudia kulimwaga huba lako adhimu kwa muhibu ?
Jamani maana ya muhibu (pendo/huba/habiba) LoverMuhibu maana yake ni nini jamani?
Lover kumbe maana yake ni muhibu, hili neno muhibu asili yake ni lugha gani?Jamani maana ya muhibu (pendo/huba/habiba) Lover
Gani ni kiswahili asili yake Muhibu ni lugha ya kiarabuLover kumbe maana yake ni muhibu, hili neno muhibu asili yake ni lugha gani?
Gani kali ni kipindi cha mzikiLover kumbe maana yake ni muhibu, hili neno muhibu asili yake ni lugha gani?
Kiarabu chenyewe kigumuGani ni kiswahili asili yake Muhibu ni lugha ya kiarabu
Kigumu sana aisee [emoji4]Kiarabu chenyewe kigumu
Aisaee karibu ktk kijiwe chetu mpendwa kiarabu sindo mama wa kiswahili iweje kigumu ??Kigumu sana aisee [emoji4]
Kiarabu ndio, ila Mhindi ana mchango wake piaAisaee karibu ktk kijiwe chetu mpendwa kiarabu sindo mama wa kiswahili iweje kigumu ??
Kim Dawizzy maneno mengi ndiyo ya kiarabu
Pia Ujue Mhindi kachangia sana mjengo,biashara,elimu,Afya na viwanda ila lugha ni zero !!Kiarabu ndio, ila Mhindi ana mchango wake pia
Zero sio, hehe, nilidhani maneno mengine wa swa yanafanana na ya Wahindi, mfano pilai-pulao ama chai-chaiPia Ujue Mhindi kachangia sana mjengo,biashara,elimu,Afya na viwanda ila lugha ni zero !!
Chai na pilau na majina mengi ya vyakula ni hindustan kweli Wahindi ni dawa kwa jamii hapa ulimwenguni...Zero sio, hehe, nilidhani maneno mengine wa swa yanafanana na ya Wahindi, mfano pilai-pulao ama chai-chai
Ulimwenguni kote sijui ka kuna jamii wanatumia species na ingredients nyingi kwa kupikia vyakula kama waleChai na pilau na majina mengi ya vyakula ni hindustan kweli Wahindi ni dawa kwa jamii hapa ulimwenguni...