Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Wachache sana wengi wao ni wanyamawatu ni wengi duniani ila binadamu ni wachache.
wanyama wanashangaa kwa matendo wanayoyafanya watu....Wachache sana wengi wao ni wanyama
Watu ni makatili wenye roho mbaya ambazo hazijawah kutokeawanyama wanashangaa kwa matendo wanayoyafanya watu....
Kutokea January sijaona muelekeo wa mzuri wa hali ya hewaWatu ni makatili wenye roho mbaya ambazo hazijawah kutokea
Hewa nzuri hupatikana ufukweni mwa bahari hasa nyakati za jioniKutokea January sijaona muelekeo wa mzuri wa hali ya hewa
Hewa ya Morogoro ni nzuriKutokea January sijaona muelekeo wa mzuri wa hali ya hewa
Nzuri kwa muonekanoHewa ya Morogoro ni nzuri
Nalog off
Jioni tuonaneHewa nzuri hupatikana ufukweni mwa bahari hasa nyakati za jioni
Mwonekano wako una nafasi kubwa kwenye mahusianoNzuri kwa muonekano
Mahusiano yangu yamejaa uongoMwonekano wako una nafasi kubwa kwenye mahusiano
Uongo utakusaidi kwa muda tu hatimae utaumbuka na kufedheheka...Mahusiano yangu yamejaa uongo
Nalog off
Kufedheheka kulimnyima furada bwana yuleUongo utakusaidi kwa muda tu hatimae utaumbuka na kufedheheka...
Yule yule aliye nina simu yangu amerudi uraiani..Kufedheheka kulimnyima furada bwana yule
Nalog off
Uraiani kuna raha yake hata kama unapigika kimaisha kuliko kunyimwa UhuruYule yule aliye nina simu yangu amerudi uraiani..
Uhuru tuliopewa na Mwenyez Mungu ni mkubwa sanaUraiani kuna raha yake hata kama unapigika kimaisha kuliko kunyimwa Uhuru
Sana tumepewa bila kulipia chochote kwa raha zetuUhuru tuliopewa na Mwenyez Mungu ni mkubwa sana
Zetu Fikra zisitufanye tuwachukie binaadamu wenzetuSana tumepewa bila kulipia chochote kwa raha zetu
Zetu Fikra zisitufanye tuwachukie binaadamu wenzetu
Tuwajali watoto yatimawenzetu pia tuwajali