Iheshimiwe iwapo kama haikutangazwa
Haikutangazwa rasmi mkutano wa hadharaIheshimiwe iwapo kama haikutangazwa
Mkutano wa hadhara ni jambo jema ili tuwasikilize viongozi wetuHaikutangazwa rasmi mkutano wa hadhara
Wetu Viongozi wa Nchi wengi wao ni wapigajiMkutano wa hadhara ni jambo jema ili tuwasikilize viongozi wetu
Nalog off
Wapigaji wa nini...?Wetu Viongozi wa Nchi wengi wao ni wapigaji
Nini unachotaka kufahamu ni kwamba, hawa Viongozi wetu wengi wao ni wapigaji kwa lugha nyingine ni wezi, au kwa lugha nyepesi ni MafisadiWapigaji wa nini...?
Mafisadi ndio nilitaka kujua pia nahisi kama mambo haya yamekisili sana kwa wakati huuNini unachotaka kufahamu ni kwamba, hawa Viongozi wetu wengi wao ni wapigaji kwa lugha nyingine ni wezi, au kwa lugha nyepesi ni Mafisadi
Huu utawala mambo yanarudi kama zamani, Minyororo imeshafunguliwa watajichotea watakavyoMafisadi ndio nilitaka kujua pia nahisi kama mambo haya yamekisili sana kwa wakati huu
Watakavyo Mafisadi, inapaswaa kila mtu awe mlinzi kwa mwingine lengo zaidi ni kukemea mambo kama haya inasikitishaaHuu utawala mambo yanarudi kama zamani, Minyororo imeshafunguliwa watajichotea watakavyo
Inasikitisha sana, na hii yote ni kwasababu Viongozi wetu wengi hawana uzalendoWatakavyo Mafisadi, inapaswaa kila mtu awe mlinzi kwa mwingine lengo zaidi ni kukemea mambo kama haya inasikitishaa
Uzalendo kwa sasa ni pasua kichwa umekuwa kama mashimo makubwa migodini na wananchi wamebaki masikini sanaInasikitisha sana, na hii yote ni kwasababu Viongozi wetu wengi hawana uzalendo
Sana sana ukiiba hakuna wa kukuchukulia hatua za kisheria zaidi ya kuachiwa ule stareheUzalendo kwa sasa ni pasua kichwa umekuwa kama mashimo makubwa migodini na wananchi wamebaki masikini sana
Starehe bana zinawakati wake tupigiee kaziSana sana ukiiba hakuna wa kukuchukulia hatua za kisheria zaidi ya kuachiwa ule starehe
Kazi hizo za kupigwa ziko wapi ndugu au maneno ya wanasiasaStarehe bana zinawakati wake tupigiee kazi
Wanasiasa watuambie kweli wasiwe kama watabiri wa ugangaKazi hizo za kupigwa ziko wapi ndugu au maneno ya wanasiasa
Uganga wa mchawi mara humgeukia mchawi mwenyewe !!!Wanasiasa watuambie kweli wasiwe kama watabiri wa uganga
Mwenyewe kila nikipiga darubini sioni chochoteUganga wa mchawi mara humgeukia mchawi mwenyewe !!!
Chochote kitatokea ktk kinyanganyiro !!!Mwenyewe kila nikipiga darubini sioni chochote
Kinyang'anyiro chá kugombea ubunge?Chochote kitatokea ktk kinyanganyiro !!!
Ubunge wa Miss Mrembo tunahitaji majijiKinyang'anyiro chá kugombea ubunge?
Nalog off