Majiji unayoyazungumzia ni yapiUbunge wa Miss Mrembo tunahitaji majiji
Yapi hayo Kati ya Mwanza Arusha au MbeyaMajiji unayoyazungumzia ni yapi
Mbeya ni jiji lenye hali ya hewa nzuriYapi hayo Kati ya Mwanza Arusha au Mbeya
Hewa nzuri yenye utulivu huchafuliwa kwa Moshi wa magari makubwa !!Mbeya ni jiji lenye hali ya hewa nzuri
Nalog off
Makubwa magari ndio husababisha foleni kwenye majiji yetu kutokana na miundombinu mibovuHewa nzuri yenye utulivu huchafuliwa kwa Moshi wa magari makubwa !!
Mibovu japo bado inatumika ila panahitaji taratibu yakinifu kuya Control yasiingie ktk ya Jiji !!Makubwa magari ndio husababisha foleni kwenye majiji yetu kutokana na miundombinu mibovu
Nalog off
Jiji letu lina uchafuMibovu japo bado inatumika ila panahitaji taratibu yakinifu kuya Control yasiingie ktk ya Jiji !!
Uchafu tusikereke nao huo ni utamaduni kama siyo hulka zetu...Jiji letu lina uchafu
Zetu Kero hatujui nani atashughulikiaUchafu tusikereke nao huo ni utamaduni kama siyo hulka zetu...
Atashughulikia yule tu mwenye nia na uchungu wa maendeleoZetu Kero hatujui nani atashughulikia
Maendeleo ya nchi huletwa na wananchiAtashughulikia yule tu mwenye nia na uchungu wa maendeleo
Wananchi wenye kujitambua na umakinifuMaendeleo ya nchi huletwa na wananchi
Umakinifu unaendana na ubunifuWananchi wenye kujitambua na umakinifu
Ubunifu (creativity) ni kipaji nadran mtu kuwanacho !!!Umakinifu unaendana na ubunifu
kuwanacho kwa kadri Mungu alivyompaUbunifu (creativity) ni kipaji nadran mtu kuwanacho !!!
Alivyompa zawadi hakutegemea ina thamanikuwanacho kwa kadri Mungu alivyompa
Thamani ya kitu huoni mpaka kile kitu kikuponyokeAlivyompa zawadi hakutegemea ina thamani
kikuponyoke kwa makusudi ama kwa bahati mbayaThamani ya kitu huoni mpaka kile kitu kikuponyoke
Mbaya tabia imekuponzakikuponyoke kwa makusudi ama kwa bahati mbaya
Imekuponza ile dawa ya mkorogo hadi umechusha...!!Mbaya tabia imekuponza