Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Hadi umechusha Kwa mkorogoImekuponza ile dawa ya mkorogo hadi umechusha...!!
Mkorogo umedundaHadi umechusha Kwa mkorogo
Nalog off
Umedunda mpira kwa Manchester City, ndio ujue mpira unadunda na mpira ni dakika tisiniMkorogo umedunda
Tisini ni namba ya bahatiUmedunda mpira kwa Manchester City, ndio ujue mpira unadunda na mpira ni dakika tisini
Bahati ya Taifa iliwatajirisha watu wengiTisini ni namba ya bahati
Wengi walipata pesa kwa njia haramuBahati ya Taifa iliwatajirisha watu wengi
Nalogoff
Haramu kwako kwangu halaliWengi walipata pesa kwa njia haramu
halali kila siku usiku yupo macho.Haramu kwako kwangu halali
Macho yako yamevimbahalali kila siku usiku yupo macho.
Yamevimba kwaajili ganiMacho yako yamevimba
Gani? kivipi tena macho yangu hayajavimba.Yamevimba kwaajili gani
Hayajavimba au nakuangalia kwa wasi wasiGani? kivipi tena macho yangu hayajavimba.
wasi wasi kwangu toa mimi niko fresh mpendwa, hofu kwako..Hayajavimba au nakuangalia kwa wasi wasi
Kwako kuna mazingira mazuriwasi wasi kwangu toa mimi niko fresh mpendwa, hofu kwako..
mazuri kama ya kwako mpendwa...Kwako kuna mazingira mazuri
Mpendwa karibu nyumbanimazuri kama ya kwako mpendwa...
nyumbani kwako wapi rafiki?Mpendwa karibu nyumbani
Rafiki umesahau miadi yetunyumbani kwako wapi rafiki?
Yetu macho kwa kweli.Rafiki umesahau miadi yetu
Kweli nimevamia mazungumzo ya wawili nyie, ila naomba tuvumiliane tu ili wa mwisho ndio awe mshindiYetu macho kwa kweli.