Mafanikio huja ukiwa na nidhamu pamoja na bidii ya kaziKesho yako iandaliwe leo vyema ili iwe bora na yenye mafanikio
Bidii ya kazi na nidhamu ni njia mojawapo ya mafanikioMafanikio huja ukiwa na nidhamu pamoja na bidii ya kazi
Mafanikio utayapata we Zingatia ulichosema na ukifanyie kazi kweliBidii ya kazi na nidhamu ni njia mojawapo ya mafanikio
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Kweli wewe ni mwalimu mzuriMafanikio utayapata we Zingatia ulichosema na ukifanyie kazi kweli
Mzuri japo sio sana mengi nimejifunza kutoka kwako
Kutoka kwako pia Kuna mengi ya kujifunzaMzuri japo sio sana mengi nimejifunza kutoka kwako
Kujifunza lugha ya kisukuma ni rahisi sana
Sana sana uwe na mwenyeji wa kukufundishaKujifunza lugha ya kisukuma ni rahisi sana
Malipo yatoke wapi tupo uchumi wa katiKukufundisha bure au kwa malipo?
Mzuri kwa kuwa anafungisha mambo ya maana
Uchumi wa kati kwenye hati tu,hauna uhalisia.Malipo yatoke wapi tupo uchumi wa kati
Uhalisia alikwenda nao mwendazake JIWEUchumi wa kati kwenye hati tu,hauna uhalisia.
Jiwe moja haliuwi ndege wawiliUhalisia alikwenda nao mwendazake JIWE
Kumbi kumbi hawapo labda kwa msimu ujaoWawili kwenye maisha ndo kanuni,kama kumbikumbi
Msimu ujao nitawala kumbikumbiKumbi kumbi hawapo labda kwa msimu ujao
Kumbikumbi hupatikana wakati wa majira ya mvuaMsimu ujao nitawala kumbikumbi
Nalog off
Mvua ikinyesha tu na wao hutokeza,,Kumbikumbi hupatikana wakati wa majira ya mvua
Hutokeza katika vichuguu na kurukaMvua ikinyesha tu na wao hutokeza,,