Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Kunyongwa sio adhabu nzuri serikali iliangalie.Anachostahili sabaya ni huiumu ya kunyongwa
Iliangalie ila kwa wauaji kama sabaya ni adhabu sahihiKunyongwa sio adhabu nzuri serikali iliangalie.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Adhabu sahihi kwa mafisadi ni kunyanganywa mali zao zote .Iliangalie ila kwa wauaji kama sabaya ni adhabu sahihi
Sahihi na saini ipi ni lugha fasaha ?Iliangalie ila kwa wauaji kama sabaya ni adhabu sahihi
fasaha ni bora zaidiSahihi na saini ipi ni lugha fasaha ?
Zaidi ya moja ni hatari kwa afyafasaha ni bora zaidi
Afya nzuri ni bora sanaZaidi ya moja ni hatari kwa afya
Sana kwa kuwa mwili unakua na nguvuAfya nzuri ni bora sana
Nguvu nyingi huchochea ugomviSana kwa kuwa mwili unakua na nguvu
Ugomvi huleta madharaNguvu nyingi huchochea ugomvi
Madhara huongeza gharamaUgomvi huleta madhara
Gharama za maisha zimekua juuMadhara huongeza gharama
Juu ya yote mtandao unasumbuaGharama za maisha zimekua juu
Unasumbua na gharama za vifurushi zinapaaJuu ya yote mtandao unasumbua
Zinapaa zaidi ya mapato yaliyopangwaUnasumbua na gharama za vifurushi zinapaa
Yaliyopangwa hayakutekelezwa kwa wakatiZinapaa zaidi ya mapato yaliyopangwa
wakati wake umepita tuendelee na yaliyopoYaliyopangwa hayakutekelezwa kwa wakati
Yaliyopo ni mengi, tuanze na fao la kujitoawakati wake umepita tuendelee na yaliyopo
wakati wake umepita tuendelee na yaliyopo
Yaliyopo ni mengi, tuanze na fao la kujitoa