Maporini hapafai kutembea usikuMjini kwa sasa hakufai, kila mtu anakimbilia huko. Bora sisi wazee wa maporini tuendelee na maisha yetu ya kujificha maporini, yaani kutoka pori moja kwenda pori jingine.
Mjini tunapita kusalimia tu, kisha tunarudi maporini
Usiku Ni kwa ajili ya kupumzika na sio kuhangaikaMaporini hapafai kutembea usiku
Usiku ni mnono mkilala wawiliMaporini hapafai kutembea usiku
Kuhangaika kote kumbe anataka uteuziUsiku Ni kwa ajili ya kupumzika na sio kuhangaika
Wawili wananogesha usingiziUsiku ni mnono mkilala wawili
Usingizi unakuja ukishapiga cha kwanzaWawili wananogesha usingizi
Kwanza usiwe na kiherehereUsingizi unakuja ukishapiga cha kwanza
Uteuzi ambao haudumu, muda wowote unatumbuliwaKuhangaika kote kumbe anataka uteuzi
Kiherehele biti matembele, usemi huu unanikumbusha mbali sanaKwanza usiwe na kiherehere
Kwanza usiwe na papara, unatakiwa kumuandaaUsingizi unakuja ukishapiga cha kwanza
Kumuandaa mwanamke muda mrefu tena ukijua sehemu zake legevu ni nzuri mnoKwanza usiwe na papara, unatakiwa kumuandaa
Nzuri mno baadhi ya nyimboKumuandaa mwanamke muda mrefu tena ukijua sehemu zake legevu ni nzuri mno
Nyimbo nyingi siku hizi zimekosa maadili.Nzuri mno baadhi ya nyimbo
maadili ni jambo la kutiliwa mkazoNyimbo nyingi siku hizi zimekosa maadili.
maadili ni jambo la kutiliwa mkazo
mwendazake hukumbukwa kwa mema aliyoyafanya.Mkazo ninasisitiza juu ya tabia hii inayoendelea hapa nchi kuwa tuanze kutumia HAMNAZO badala ya Mwendazake.
Aliyoyafanya ni mengi, ya kufurahisha na ya kuchukizamwendazake hukumbukwa kwa mema aliyoyafanya.
Kuchukiza wenzako ni machukizo mbele ya mwenyezi munguAliyoyafanya ni mengi, ya kufurahisha na ya kuchukiza
MUNGU ndio sahihi sio mungu kama ulivyoandika.Kuchukiza wenzako ni machukizo mbele ya mwenyezi mungu
Ulivyoandika wewe ina maana ni Mungu wa mbinguni mimi nilimaanisha miunguMUNGU ndio sahihi sio mungu kama ulivyoandika.