Dhambi ndogo ni km kuiba kuku au vijiko, hahaahaaDhambi ni Dhambi ingawa watu wana ile dhana ya kusema Dhambi kubwa na Dhambi ndogo
Hahaahaa kicheko cha furahaDhambi ndogo ni km kuiba kuku au vijiko, hahaahaa
Furaha hutokana na shibeHahaahaa kicheko cha furaha
Shibe yako ww iweje uwatese wengineFuraha hutokana na shibe
Nalog off
Wengine wanachezea chakulaShibe yako ww iweje uwatese wengine
Chakula kitamu Mungu mkubwa..Wengine wanachezea chakula
Nalog off
Mkubwa sana hakuna mfanoweChakula kitamu Mungu mkubwa..
Mfanowe hakuna sababu kila mtu ana akili zakeMkubwa sana hakuna mfanowe
Nalog off
Zake hisia zinapaswa kuheshimiwaMfanowe hakuna sababu kila mtu ana akili zake
Kuheshimiwa ni bora kuliko kuogopwaZake hisia zinapaswa kuheshimiwa
Kuogopwa sio sifa nzuriKuheshimiwa ni bora kuliko kuogopwa
Nzuri yake Tabia inavutia watu kumpendaKuogopwa sio sifa nzuri
Sifa nzuri na Tabia nzuri hufundishwa nyumbani kwenye malezi imara....Kuogopwa sio sifa nzuri
Kumpenda mchumba ?Nzuri yake Tabia inavutia watu kumpenda
mchumba mwenye tabia nzuri ni lulu yenye kuvutiaKumpenda mchumba ?
Kumpenda mchumba ?
Kuvuti watalii tunahitaji mpango endelevumchumba mwenye tabia nzuri ni lulu yenye kuvutia
Endelevu wenye maslai mapana..Kuvuti watalii tunahitaji mpango endelevu
Mapana yenye kujenga nchiEndelevu wenye maslai mapana..
Nchi yetu pendwa imejaliwa amaniMapana yenye kujenga nchi
Aman ya Mwenyez Mungu iwe pamoja naweNchi yetu pendwa imejaliwa amani