Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Wengi wanakunywa kwa mkumbo na baadhi hawali kwnza chakula cha kushibaNyingi beer hulewesha wengi
Nalog off
Kushiba ndio silaha nzuri ya kuizuia pombe isikupelekesheWengi wanakunywa kwa mkumbo na baadhi hawali kwnza chakula cha kushiba
Isikupelekeshe kabisa pombe yaan kamwe usikubali hlo Jambo litokee maana litashusha hadhi yakoKushiba ndio silaha nzuri ya kuizuia pombe isikupelekeshe
Nalog off
Hadhi yako haina umuhimu wakati wa stareheIsikupelekeshe kabisa pombe yaan kamwe usikubali hlo Jambo litokee maana litashusha hadhi yako
Starehe ikikuendesha sana ni utumwa
Starehe ninayoipenda zaidi ni naniliyu
Naniliyu inapendwa na wengiStarehe ninayoipenda zaidi ni naniliyu
Nalog off
Wengi tunaikubaliNaniliyu inapendwa na wengi
Tunaikubali kwa sababu hatuna mbadalaWengi tunaikubali
Nalog off
Mbadala Wake hatotokeaTunaikubali kwa sababu hatuna mbadala
Hatotokea jembe kama Magufuli japo kuna makosa aliyafanyaMbadala Wake hatotokea
Nalog off
Aliyafanya ni katika udhaifu wa kibinadamuHatotokea jembe kama Magufuli japo kuna makosa aliyafanya
Kibinadam anapaswa asameheweAliyafanya ni katika udhaifu wa kibinadamu
Huku watu tunaendeleza neno la mwisho mtu kuandikaKuna nini huku
Kuandika barua au au vitendawili?Huku watu tunaendeleza neno la mwisho mtu kuandika
Vitendawili tupo shule ya msingiKuandika barua au au vitendawili?
Msingi wa nyumba ukikosewa unakosesha nyumba nzima.Vitendawili tupo shule ya msingi
Nyumba nzima ni kwl lazima iwe na msingi imaraMsingi wa nyumba ukikosewa unakosesha nyumba nzima.
Imara kama wekundu wa Msimbazi💢💢💢Nyumba nzima ni kwl lazima iwe na msingi imara