Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Uongo mwingi vitendo kidogoSiasa ya Tanzania imejaa uongo
Kidogo tunaanza kuelewanaUongo mwingi vitendo kidogo
Nalog off
Kuelewana kuhusu Simba au YangaKidogo tunaanza kuelewana
Yanga siipendi kabisaKuelewana kuhusu Simba au Yanga
Kabisa sitaki kuona watoto wadogo wakijiingiza kwenye madawa ya kulevya
Madawa ya kulevya ndo habari ya mjiniKabisa sitaki kuona watoto wadogo wakijiingiza kwenye madawa ya kulevya
Mjini hakufaiMadawa ya kulevya ndo habari ya mjini
hakufai sababu upigaji umerudi tenaMjini hakufai
Tena wa Hali ya juuhakufai sababu upigaji umerudi tena
Juu hakuna jipyaTena wa Hali ya juu
Jipya lolote lile linakuwa na thamani, lakini likishazoeleka thamani yake inashukaJuu hakuna jipya
Inashuka kama gari inavoshuka mlima kitongaJipya lolote lile linakuwa na thamani, lakini likishazoeleka thamani yake inashuka
Kitonga ni mlima maarufuInashuka kama gari inavoshuka mlima kitonga
Maarufu halafu hauna hela ni ujingaKitonga ni mlima maarufu
Nalog off
Ujinga kila mtu anao huonekana pale ukiwa na mpenzi wakoMaarufu halafu hauna hela ni ujinga
Wako uaminifu umekupa fursaUjinga kila mtu anao huonekana pale ukiwa na mpenzi wako
Fursa zinapatikana vijana tuzichangamkieeWako uaminifu umekupa fursa
Tuzichangamkie WADAU fursa ni nyingiFursa zinapatikana vijana tuzichangamkiee
Nyingi sana lakin tatizo hatuna moneyTuzichangamkie WADAU fursa ni nyingi