Hatuelewi soko la kariakoo limeunguaje
Limeunguaje tutaelewa baada ya uchunguziHatuelewi soko la kariakoo limeunguaje
Uchunguzi utachukua muda gani
Muda gani hilo ni swali gumu sana mimi kulijibuUchunguzi utachukua muda gani
Kulijibu unahitaj akili kubwa sana, haha
Haha, ingawa si ya kucheka ila nimesikia kuna hujuma imefanyikaKulijibu unahitaj akili kubwa sana, haha
Imefanyika hujuma gan mkuu?Haha, ingawa si ya kucheka ila nimesikia kuna hujuma imefanyika
Mkuu maneno ya watu ninayoyasikia ila sina uhakika kama kweli kuna hujuma imefanyikaImefanyika hujuma gan mkuu?
Imefanyika tathimini na tumegundua vijana wengi wanapenda kulelewa.Mkuu maneno ya watu ninayoyasikia ila sina uhakika kama kweli kuna hujuma imefanyika
Kulelewa kuna mwisho wake, anaekulea atakapokuchoka atakusukuma kama mzigo wa takatakaImefanyika tathimini na tumegundua vijana wengi wanapenda kulelewa.
Takataka zimejaa sana kwenye eneo lenuKulelewa kuna mwisho wake, anaekulea atakapokuchoka atakusukuma kama mzigo wa takataka
Eneo lenu ni chafu hakuna mfanoTakataka zimejaa sana kwenye eneo lenu
Kigogo na mabibo wapi kuchafu?
Kuchafu ni tandale na manzeseKigogo na mabibo wapi kuchafu?
Nalog off
Tandale kwa tumboKuchafu ni tandale na manzese
Tumbo lake ni kubwa hadi linatishaTandale kwa tumbo
Linatisha kama sanamu la magufuliTumbo lake ni kubwa hadi linatisha
Magufuli alitudanganya vya kutoshaLinatisha kama sanamu la magufuli