Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Magufuli alitudanganya vya kutosha
Asalibya Tabora ina viwango vya juuKutosheka kwetu hadi tufike Nchi ya maziwa na asali
Juu kuna winguAsalibya Tabora ina viwango vya juu
Mkuu sijawahi kukukosa kwenye huu uzi.Asalibya Tabora ina viwango vya juu
Mpo vizuri vijana.Juu kuna wingu
Vijana hawapendi kaziMpo vizuri vijana.
Uzi huu jipo sana, angalia post za nyumaMkuu sijawahi kukukosa kwenye huu uzi.
Wingu la mvua limetandaJuu kuna wingu
Nyuma wapi... Ama nyuma ya mlango.Uzi huu jipo sana, angalia post za nyuma
Mlango umefungwaNyuma wapi... Ama nyuma ya mlango.
Umefungwa ila mwingine utafunguliwa.Mlango umefungwa
Utafunguliwa muda ukifikaUmefungwa ila mwingine utafunguliwa.
Ukifika nyumbani nimekuandalia chakula kitamuUtafunguliwa muda ukifika
Chakula kitamu kina ladha nzuriUkifika nyumbani nimekuandalia chakula kitamu
nzuri ya kupewa ni tamu kuliko nzuri ya kuibaChakula kitamu kina ladha nzuri
Kuiba ni dhambinzuri ya kupewa ni tamu kuliko nzuri ya kuiba
Kuiba ni dhambi
Sana sana mimi nimeelewa maana hiyo sanamuDhambi kubwa sana
Sanamu haipaswi kuabudiwaSana sana mimi nimeelewa maana hiyo sanamu
Kuabudiwa ni Mungu peke yake