Nchi ya Tanzania ni hivyo sana haijawekeza kwenye michezo na ndio maana hatuna medali yoyote,wenzetu Kenya na Uganda wanajiokotea tu medali huko Tokyo. Kilichobaki wanalazimisha utanzania wa Malaika Mihambo wa Ujerumani
Nalog off
Ujerumani ni nchi ambayo Malaika Mihambo anakokula,anakofanyia mazoezi na anakolala na ni nchi ambayo imempeleka kwenye olympic 2020 mjini Tokyo na akajishindia medali ya dhahabu Mara ghafla watanzania wanadai ni raia wa kwao!Ujerumani imeingiaje tena humu ndani
Ujerumani ni nchi ambayo Malaika Mihambo anakokula,anakofanyia mazoezi na anakolala na ni nchi ambayo imempeleka kwenye olympic 2020 mjini Tokyo na akajishindia medali ya dhahabu Mara ghafla watanzania wanadai ni raia wa kwao!
Nalog off
Sehemu gani anakoishi Malaika Mihambo? Ni ujerumani.Kwao ni sehemu gani?
Sehemu gani anakoishi Malaika Mihambo? Ni ujerumani.
Nalog off
Jumla ya medali za ujerumani mpaka sasa ni thelathini na nneUjerumani imepata medali ngapi jumla?
Nne inatutosha kwa sbb hatujawaandaa vijana tunachukulia Micheal na POWA na dharau !!Jumla ya medali za ujerumani mpaka sasa ni thelathini na nne
Nalog off
Nne inatutosha kwa sbb hatujawaandaa vijana tunachukulia Micheal na POWA na dharau !!
Kubwa sana hasa hapa Afrika masharikiDharau yetu imetuletea aibu kubwa
Kubwa sana hasa hapa Afrika mashariki
Nalog off
Hindi la kuchoma ni tamu kuliko la kuchemsha!!Mashariki mwa Tanzania kuna bahari ya Hindi
Kuchemsha maharage ya Mbeya unaweka maji mara mojaHindi la kuchoma ni tamu kuliko la kuchemsha!!
Mara moja ni kwa maharage ambayo ni mazuri na mapyaKuchemsha maharage ya Mbeya unaweka maji mara moja
Mara moja ni kwa maharage ambayo ni mazuri na mapya
Zamani za kale kulikua na unafuu wa maishaMapya yana nafuu kuliko ya zamani
Maisha matamu ukiwa umechanja
Mchina SI ndugu yako akutengenezee chanjo ya kupona kabisa. Lazima akuwekee na mazagazaga ya kukufanya uwe zombieUmechanja chanjo ya kukijinga na kirusi cha mchina
karibuni tunaenda kulazimishwa kuchanja
Kinga ni bora kuliko tibaKuchanja kwenyewe wauguzi hawavai gloves wala kinga