Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Duniani kuna mambo mengi sana ya ajabu ajabuMafia na yakuza ni makundi hatari duniani
Duniani kuna mazingira ya ajabu...Mafia na yakuza ni makundi hatari duniani
Ajabu ni Tanzania kutorudi na medali hata mojaDuniani kuna mazingira ya ajabu...
Moja kwa Moja nawapeleka ktk mnada wa mifugo !!Ajabu ni Tanzania kutorudi na medali hata moja
Nalog off
Mifugo ukiihudumia vizuri ina helaMoja kwa Moja nawapeleka ktk mnada wa mifugo !!
Mifugo ukiihudumia vizuri ina hela
Nalog off
Wachache hao ndiyo hulisha ulimwengu ...Hela zimekaliwa na watu wachache
Wachache wasikilizwe ila wengi wapeweHela zimekaliwa na watu wachache
Wapewe msaada, wawezeshwe na wanyanyuliwe.Wachache wasikilizwe ila wengi wapewe
Nalog off
Wanyanyuliwe ili na wao wawanyanyue wengineWapewe msaada, wawezeshwe na wanyanyuliwe.
Wengine waliyochelewa kuandikishwa tutawapachika ktk makundi yaliyo kwisha sajiliwa...Wanyanyuliwe ili na wao wawanyanyue wengine
Nalog off
Makundi yaliyokwisha sajiliwa ni machache kutokana na uhaba wa fedhaWengine waliyochelewa kuandikishwa tutawapachika ktk makundi yaliyo kwisha sajiliwa...
Fedha ina fedheheshaMakundi yaliyokwisha sajiliwa ni machache kutokana na uhaba wa fedha
Nalog off
Ina fedhehesha Kwa wote wasiojielewaFedha ina fedhehesha
Wasiojielewa wanapewa kipaumbele ktk huduma za kliniki za kiAfya...Ina fedhehesha Kwa wote wasiojielewa
Nalog off
Kiafya inashauriwa kunywa maji mengi kwa siku.Wasiojielewa wanapewa kipaumbele ktk huduma za kliniki za kiAfya...
Siku imeisha salama hatimayeKiafya inashauriwa kunywa maji mengi kwa siku.
Hatimaye milango imefunguliwaSiku imeisha salama hatimaye
Imefunguliwa ili watu wote waingieHatimaye milango imefunguliwa
Waingie kwa Amani na wasitoke ila kwa idhini ya Mshauri ..Imefunguliwa ili watu wote waingie
Nalog off