Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Miamala ya Corona ni hatari kuliko chanjo..Haikubaliki na wengi tozo mpya ya miamala
Chanjo Bungeni imeshikiliwa bango na NdungaiMiamala ya Corona ni hatari kuliko chanjo..
Ndugai si wa hiyari! Lakini Gwajima ndio alie simama wima.Chanjo Bungeni imeshikiliwa bango na Ndungai
Aliesimama wima ni Gwajima sikatai, na lengo lake watanzania wasiharakishwe na chanjo, tofauti na mdemkaji NdungaiNdugai si wa hiyari! Lakini Gwajima ndio alie simama wima.
Ndungai uspika wake utaisha lini?Aliesimama wima ni Gwajima sikatai, na lengo lake watanzania wasiharakishwe na chanjo, tofauti na mdemkaji Ndungai
Lini sijui maana kila siku zinavyoenda anazidi kuchemkaNdungai uspika wake utaisha lini?
Nalog off
Kuchemka kwake anafanya makusudiLini sijui maana kila siku zinavyoenda anazidi kuchemka
Makusudi yake haya hakuthubutu utawala wa MagufuliKuchemka kwake anafanya makusudi
Nalog off
Magufuli Ana mazuri na mabaya yakeMakusudi yake haya hakuthubutu utawala wa Magufuli
Yake mazuri na mabaya ni mapungufu ya kibinaadam kama mimi na wewe, au Haji ManaraMagufuli Ana mazuri na mabaya yake
Nalog off
Mimi na wewe bila kumtaja mtu au kumkashifuYake mazuri na mabaya ni mapungufu ya kibinaadam kama mimi na wewe, au Haji Manara
Kumkashifu ni ukosefu wa nidhamuMimi na wewe bila kumtaja mtu au kumkashifu
Nidhamu ya woga haifaiKumkashifu ni ukosefu wa nidhamu
Haifai hasa kwa wakati huuNidhamu ya woga haifai
Huu ni wakati wa kusihi kwa tahadhari kwa sababu ya coronaHalifai hasa kwa wakati huu
Corona ni janga kubwa na tishio kwa DuniaHuu ni wakati wa kusihi kwa tahadhari kwa sababu ya corona
Dunia ipo kwenye taharukiCorona ni janga kubwa na tishio kwa Dunia
Taharuki imeletwa kwa upotoshaji wa kisiasaDunia ipo kwenye taharuki
Siasa za Tanzania zinatia hasiraTaharuki imeletwa kwa upotoshaji wa kisiasa