Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Hasira haswa ila hatuna la kufanyaDiasa za Tanzania zinatia hasira
Kufanya ngono hadharani hairuhusiwi nchini kwetu!Hasira haswa ila hatuna la kufanya
Kwetu heshima ni jambo la kuzingatiwaKufanya ngono hadharani hairuhusiwi nchini kwetu!
Kuzingatiwa matumizi sahihi ya barakoa kutapunguza maambukizi ya Uviko -19Kwetu heshima ni jambo la kuzingatiwa
Uviko -19 au silent killer watu wanaisha kila sikuKuzingatiwa matumizi sahihi ya barakoa kutapunguza maambukizi ya Uviko -19
Siku hizi kuna mtindo wa kuchakachuwaUviko -19 au silent killer watu wanaisha kila siku
Kuchakachuwa kumezidi tena bila uogaSiku hizi kuna mtindo wa kuchakachuwa
Uoga ni hofu uliyojikita ndani ya mwili husababishwa na unyonge ..Kuchakachuwa kumezidi tena bila uoga
Kuzingatia masharti ni muhimu kwa afyaKwetu heshima ni jambo la kuzingatiwa
Unyonge wake umemfanya akadhulumiwa haki yakeUoga ni hofu uliyojikita ndani ya mwili husababishwa na unyonge ..
Yake na yako zote zinafananaUnyonge wake umemfanya akadhulumiwa haki yake
Haki yake atapewa baada mahakama kumridhisha!!Unyonge wake umemfanya akadhulumiwa haki yake
Zinafanana kwa sababu zimeshonwa na mtu mmojaYake na yako zote zinafanana
Kumridhisha mwanadamu ni kazi ngumuHaki yake atapewa baada mahakama kumridhisha!!
Ngumu kumeza niliposikia matusi ya jirani...Kumridhisha mwanadamu ni kazi ngumu
Jiran yako ana roho mbayaNgumu kumeza niliposikia matusi ya jirani...
Mbaya tabia haikubaliki kwenye jamiiJiran yako ana roho mbaya
Jamii ipi unayozungumzia wewMbaya tabia haikubaliki kwenye jamii
Wewe nae una maswali kama polisiJamii ipi unayozungumzia wew
Polisi wa kibongo unawajuaWewe nae una maswali kama polisi