Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Polisi amenichekesha kwa mahojiano...Wewe nae una maswali kama polisi
Mahojiano ya jana yalipamba motoPolish amenichekesha kwa mahojiano...
Unawajua wale jamaa wa talibaniPolisi wa kibongo unawajua
Talibani kumewaka sio poaUnawajua wale jamaa wa talibani
Talibani ni makatili ukiingia ktk zao kumi na nane...Unawajua wale jamaa wa talibani
Nane nane ya mwaka huu imepuuzwaTalibani ni makatili ukiingia ktk zao kumi na nane...
Poa tutaonana keshoTalibani kumewaka sio poa
Nane nane hakuna maonyesho msimu huuTalibani ni makatili ukiingia ktk zao kumi na nane...
Kesho ukiwa wapiPoa tutaonana kesho
Wapi alienda yule mchezaji?Kesho ukiwa wapi
Mchezaji huyo hajui kucheza labda weweWapi alienda yule mchezaji?
Wewe unadhani mimi nakufahamuMchezaji huyo hajui kucheza labda wewe
Nakufahamu kuwa wewe ni msomi usijishushe !!Wewe unadhani mimi nakufahamu
Usijishushe sana utadharaulika kwa mkeoNakufahamu kuwa wewe ni msomi usijishushe !!
Mkeo ni kama bosi wakoUsijishushe sana utadharaulika kwa mkeo
Bosi wako ni Mkuu kazini usimwangusheMkeo ni kama bosi wako
Usimwangushe boss wako, Kwa kuwa anakupa ugali wa kila siku.Bosi wako ni Mkuu kazini usimwangushe
Siku ya kufa nyani miti yote huangukaUsimwangushe boss wako, Kwa kuwa anakupa ugali wa kila siku.
Nalog off
Huanguka? hapana hutelezaSiku ya kufa nyani miti yote huanguka
Huteleza pindi anapokuwa anapanda/kufika kileleniHuanguka? hapana huteleza