Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Apone ktk hafla niliyoandaa kufanyika jioni hii ktk ukumbi wa st.MonicaMgeni njoo mwenyeji apone
Nalog off
St. Monica alikuwa raia wa nchi gani?Apone ktk hafla niliyoandaa kufanyika jioni hii ktk ukumbi wa st.Monica
Nchi gani isiyo na tozo za kodi ?St. Monica alikuwa raia wa nchi gani?
Nalog off
Tozo za kodi hazipatikani BurundiNchi gani isiyo na tozo za kodi ?
Burundi sipo pakuishi kama ni Mtanzania halisi mwenye maono na mwenye kujitambua...Tozo za kodi hazipatikani Burundi
Nalog off
Kujitambua ni kama hii ya team ChelseaBurundi sipo pakuishi kama ni Mtanzania halisi mwenye maono na mwenye kujitambua...
Chelsean siipendi napenda liverpoolKujitambua ni kama hii ya team Chelsea
Liverpool ni team ya wazeeChelsean siipendi napenda liverpool
Wazee ni hazinaLiverpool ni team ya wazee
Hazina ni kitu cha thamaniWazee ni hazina
Thamani ya kipekee ni thahabuHazina ni kitu cha thamani
Dhahabu huibeba almasi hapo hupatikana gharama stahikiThamani ya kipekee ni thahabu
Stahiki yako nitakupatia kesho acha kulalamikaDhahabu huibeba almasi hapo hupatikana gharama stahiki
Kulalamika siyo hulka yangu mie ni mvumilivu.Stahiki yako nitakupatia kesho acha kulalamika
Mvumilivu utakua wewe mkuuKulalamika siyo hulka yangu mie ni mvumilivu.
Mvumilivu hula mbivu na mbichi bila kujaliKulalamika siyo hulka yangu mie ni mvumilivu.
Mkuu wa nchi yupo dodomaMvumilivu utakua wewe mkuu
Dodoma kaenda liniMkuu wa nchi yupo dodoma
Lini na sisi tutarusha rocket kupeleka anganiDodoma kaenda lini
Angani kuna mawingu ya bluuLini na sisi tutarusha rocket kupeleka angani