Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Kura zisinge saidia maana walishapanga tangu awaliHawakumchagua kwenye sanduku la kura
Awali ya yote lazima ujitambulisheKura zisinge saidia maana walishapanga tangu awali
Ujitambulishe ili tukufahamu ili tukupe majukumuAwali ya yote lazima ujitambulishe
Majukumu mkikabidhiwa mnayatumia ndivyo...sivyo...Ujitambulishe ili tukufahamu ili tukupe majukumu
Sivyo kweli wengine hunyanyasa wanainchi na kuwaita wanyongeMajukumu mkikabidhiwa mnayatumia ndivyo...sivyo...
Wanyonge hawana hakiSivyo kweli wengine hunyanyasa wanainchi na kuwaita wanyonge
Haki haiombwi bali hudaiwaWanyonge hawana haki
Hudaiwa na nguvu mingi sio kwa mdomo tuHaki haiombwi bali hudaiwa
Mdomo tu usipozingatiwa usafi unanukaHudaiwa na nguvu mingi sio kwa mdomo tu
Unanuka kama choo cha ShimoMdomo tu usipozingatiwa usafi unanuka
Shimo mbaya ni ya nyokaUnanuka kama choo cha Shimo
Nyoka mdogo sumu kali ni jina la mtemi wa karate maeneo ya manzeseShimo mbaya ni ya nyoka
Manzese tip top, Manzese Argentina, Manzese Uwanja wa FisiNyoka mdogo sumu kali ni jina la mtemi wa karate maeneo ya manzese
Manzese uzuriManzese tip top, Manzese Argentina, Manzese Uwanja wa Fisi
Uzuri wa Mwanamke tabiaManzese uzuri
Tabia wapi! Uzuri wa mwanamke ni tá koUzuri wa Mwanamke tabia
Ko Ko Ko Ko Ko, nani huyo anagonga Mlango?Tabia wapi! Uzuri wa mwanamke ni tá ko
Mlango hauna komeoKo ko ko ko ko, nani huyo anagonga Mlango?
Komeo la chuma linafaa sana hapoMlango hauna komeo
Hapo ndipoKomeo la chuma linafaa sana hapo