Sana sana kujifukiza na covidol ndio vilivyotutoa kwenye msitati bila kumsahau dorothy
Dorothy nilikuwa najiuliza ndio nani!Sana sana kujifukiza na covidol ndio vilivyotutoa kwenye msitati bila kumsahau dorothy
Gwajima amekua gumzo.Dorothy nilikuwa najiuliza ndio nani!
Kumbe ndio huyo kwenye hiyo Video, shemeji wa Gwajima
Gumzo la kijiweni ni porojo zisizo na mantiki.Gwajima amekua gumzo.
Mantiki yako ni nini maana sijaelewa kituGumzo la kijiweni ni porojo zisizo na mantiki.
Kitu kizuri ni vizuri kula na mwenzio...Mantiki yako ni nini maana sijaelewa kitu
Mwenzio anakutafuta, mbona umezima simuKitu kizuri ni vizuri kula na mwenzio...
Simu siku hizi zinazimika sana sana juu ya chargeMwenzio anakutafuta, mbona umezima simu
Japan mwaka 2006 ilikumbwa na janga la tsunamiKobe ni mjini matata Sana uko Japan.
Kobe ni mjini matata Sana uko Japan.
Macho madogo ni maumbile waliyojaaliwaJapan π―π΅ kwa hawa wenzetu wa macho madogo
Macho madogo ni maumbile waliyojaaliwa
Mungu anafurahishwa na upendo wa binamuwaliojaaliwa na Mungu
Binadamu wengi hawana ubinadamu moyoniMungu anafurahishwa na upendo wa binamu
Moyoni kuna hazina za siri na hisia za ajabu..
Walalahoi waliyojitakia wenyewe kwa hulka na Tabia zisizo na mwelekeo...Ajabu ni kwamba, Tanzania ni nchi yenye rasili Mali nyingi ila raia wake wengi ni walalahoi,.
Mwelekeo mzuriWalalahoi waliyojitakia wenyewe kwa hulka na Tabia zisizo na mwelekeo...