Masai anapenda kazi ya ulinziKimasai kinazungumzwa vyema na watu wa kabila LA Masai.
Ulinzi shirikishi unasaidia kupunguza uhalifuMasai anapenda kazi ya ulinzi
Uhalifu hauwezi kuishaUlinzi shirikishi unasaidia kupunguza uhalifu
Kuishi kwa mafuta duniani kutasababisha taharuki kubwa na kizaza ulimwenguni...Uhalifu hauwezi kuisha
Ulimwenguni kumejaa viumbe wengi sana wanaonekana na wasio onekana kwa macho ya kawaidaKuishi kwa mafuta duniani kutasababisha taharuki kubwa na kizaza ulimwenguni...
Kawaida panapojaa lazima papunguzwe !!Ulimwenguni kumejaa viumbe wengi sana wanaonekana na wasio onekana kwa macho ya kawaida
Papunguzwe pawejeKawaida panapojaa lazima papunguzwe !!
Paweje siwaona Covid19,20 na 21 ilivyo chaji...?Papunguzwe paweje
Chaji ya simu yangu imepungua sana, muda wa kulala sasa huuPaweje siwaona Covid19,20 na 21 ilivyo chaji...?
Huu ni wakati adhimu kumsilujudia na kumwangukia Muumba kwa mahitaji yako yote ktk mipango unayofikiria.Chaji ya simu yangu imepungua sana, muda wa kulala sasa huu
Mipango unayofikiria kamwe haiwezi kuisha, kila siku unawaza mipango mipyaHuu ni wakati adhimu kumsilujudia na kumwangukia Muumba kwa mahitaji yako yote ktk mipango unayofikiria.
Mipya lakini lazima iendane na kipato cha mnyonge..Mipango unayofikiria kamwe haiwezi kuisha, kila siku unawaza mipango mipya
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Mipya lakini lazima iendane na kipato cha mnyonge..
Mpeni kiustaharabu isije kua kama HamzaMnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hamza amebeba dhima na Dhambi kubwa ya kuuwa nafsi 4 ktk shingo yake.!!Mpeni kiustaharabu isije kua kama Hamza
Yake ya moyoni hatuyajui hadi akawapiga shaba polisi .Hamza amebeba dhima na Dhambi kubwa ya kuuwa nafsi 4 ktk shingo yake.!!
Nipo ktk ibada ya kuzingatia na ung'anganizi tafadhali baadaye !!Nipo
Baadaye TutaonanaNipo ktk ibada ya kuzingatia na ung'anganizi tafadhali baadaye !!
Tutaonana GamboshiBaadaye Tutaonana