Gamboshi ndio wapi mimi sipajuiTutaonana Gamboshi
Sipajui hata nitafikajee bila kuntumia Location ?Gamboshi ndio wapi mimi sipajui
Location yako inasoma wapiSipajui hata nitafikajee bila kuntumia Location ?
Wapi hujafika katika Dunia ndogo hii ?Location yako inasoma wapi
Kijiji kina kila aina ya starehe utasema Jiji la LaVegas huko Marekani...Dunia ndoho hii imekua kama kijiji
Marekani inaheshimu demokrasiaKijiji kina kila aina ya starehe utasema Jiji la LaVegas huko Marekani...
Dem' ya kera sana mbele ya hadhara ya watu wazima...Marekani inaheshimu demokrasia
Wazima humu ndaniDem' ya kera sana mbele ya hadhara ya watu wazima...
Ndani tumejifungia faragha ili msitubughudhi...Wazima humu ndani
Msitubugudhi wewe na Abriana muda wenu huu wa kunogesha ndoa zenuNdani tumejifungia faragha ili msitubughudhi...
Zenu zilipitwa tuachieni sisi wenye hadhiMsitubugudhi wewe na Abriana muda wenu huu wa kunogesha ndoa zenu
Hadhi yako wewe nyota ngapiZenu zilipitwa tuachieni sisi wenye hadhi
Nyote ngapi juu angani zaonekanaHadhi yako wewe nyota ngapi
Zaonekana kung'ara sana ila sio rahisi kuzihesabu moja mojaNyote ngapi juu angani zaonekana
Moja Moja ndiyo lugha ya mawasilianoZaonekana kung'ara sana ila sio rahisi kuzihesabu moja moja
Mawasiliano huboresha mahusianoMoja Moja ndiyo lugha ya mawasiliano
Mahusiana mabovu huzaa uhasamaMawasiliano huboresha mahusiano
Uhasama wa Binaadam na WanyamaporiMahusiana mabovu huzaa uhasama
Nalog off
Wanyamapori wanajilinda dhidi ya binadamu wakatiliUhasama wa Binaadam na Wanyamapori