Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Gharama hazikwepeki zama hizi kila kitu kina thamani!Kutunza pia kuna hitaji muda na gharama
Thamani ya utu imeshuka na ya pesa imepandaGharama hazikwepeki zama hizi kila kitu kina thamani!
Imepanda maradufu hakuna namna wala jinsi nazo tukabiliane !!Thamani ya utu imeshuka na ya pesa imepanda
Tukabiliane na tozoImepanda maradufu hakuna namna wala jinsi nazo tukabiliane !!
Tozo italeta maendeleo na ujenzi wa miundombinuTukabiliane na tozo
Miundombinu ni nini kwa kiingerezaTozo italeta maendeleo na ujenzi wa miundombinu
Kiingereza lugha tamuMiundombinu ni nini kwa kiingereza
Kiengereza inaitwa infrastructure kwa kiarabu inaitwa Bunia tahatia Lugha za aina zote ni tamu muhimu lafudhi...Miundombinu ni nini kwa kiingereza
Miundombinu sio hitaji pekee kwenye nchi hiiTozo italeta maendeleo na ujenzi wa miundombinu
Lafudhi ya zanzibar inavutiaKiengereza inaitwa infrastructure kwa kiarabu inaitwa Bunia tahatia Lugha za aina zote ni tamu muhimu lafudhi...
Inavutia unaporejea kufanya ziara kisiwani...Lafudhi ya zanzibar inavutia
Kisiwani sio kwa watotoInavutia unaporejea kufanya ziara kisiwani...
Watoto ni malaikaKisiwani sio kwa watoto
Angel wajionajee Malaika wa akulinde usiku mchana..Watoto ni malaika
Angel wajionajee Malaika wa akulinde usiku mchana..
Mchana mwema umepita kwa salama bila taharuki..Mchana mwema
Taharuki ilizuka alipokwenda zakeMchana mwema umepita kwa salama bila taharuki..
zake chungu za wengine tamuTaharuki ilizuka alipokwenda zake
Tamu inapatikana muda km huuzake chungu za wengine tamu
Huu muda sio wote tunapata tamu, wengine tunawaza kesho tunapataje buku la kulaTamu inapatikana muda km huu