Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Hautopofuka macho kuvaa miwani ya jua mchana kutwa..Unapofuka kama mkweo ni jini lakini kama mkweo ni binadamu hautopofuka
Nalog off
Mchana kutwa naitafuta pesaHautopofuka macho kuvaa miwani ya jua mchana kutwa..
Pesa haitafutwi bali inakuijia kinamna bila matarajio..Mchana kutwa naitafuta pesa
Nalog off
Matarajio bila juhudi ni sawa na kupaka rangi kwa hewaPesa haitafutwi bali inakuijia kinamna bila matarajio..
Hewa na upepo ni tofautiMatarajio bila juhudi ni sawa na kupaka rangi kwa hewa
Tofauti ya mchicha na tembele ni niniHewa na upepo ni tofauti
Nalog off
Tofauti yao ni majani ya Mbarika haya chemshwiHewa na upepo ni tofauti
Nalog off
Hayachemshwi bali yanapikwaTofauti yao ni majani ya Mbarika haya chemshwi
Yanapikwa kama haluwa na bokoboko ila wengi hamjawahi kula uhondo huo wenye ladha !!Hayachemshwi bali yanapikwa
Ladha tamu naipate muda huuYanapikwa kama haluwa na bokoboko ila wengi hamjawahi kula uhondo huo wenye ladha !!
Ladha tamu naipate muda huuYanapikwa kama haluwa na bokoboko ila wengi hamjawahi kula uhondo huo wenye ladha !!
Huu ni wakati muwafaka wa kuSleep unono..Ladha tamu naipate muda huu
Unono.unapendeza na.mikumbatioHuu ni wakati muwafaka wa kuSleep unono..
Ukumbatio upi tena sina mwenza...Unono.unapendeza na.mikumbatio
Mwenza unakosaje daka yoyote hapaUkumbatio upi tena sina mwenza...
Mikumbatio zembe ni hatari kwa afyaUnono.unapendeza na.mikumbatio
Afya yangu bado naipenda ...Mikumbatio zembe ni hatari kwa afya
Nalog off
Naipenda imani yangu kwa MunguAfya yangu bado naipenda ...
Mungu wangu, kimbilio taabuni..msaada kwenye shida ulio karibu sana!Naipenda imani yangu kwa Mungu
Mungu mwita Mungu ukumbuke tulipotoka..Naipenda imani yangu kwa Mungu