Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Nini ft nay wa mitego
Kwa kweli night club kuna pisiMitego ya yule binti pale club nilishindwa kujizuia kwa kweli
Kwa kweli night club kuna pisi
Pisi zingine ni ma makeup tu, ivizie asubuhi ikiwa inatoka usingizini aisee utajuta.Kwa kweli night club kuna pisi
Kimasihara tunda linaliwaPisi za kwenda halafu unakuta pisi kalii inajileta yenyewe ikaliwe kimasiala
Linaliwa mpaka uvinzaKimasihara tunda linaliwa
Uvinza ipo Mkoa gani?Linaliwa mpaka uvinza
Gani? Au ghani, kitendo cha kuimba mashairi, naomba ufafanuziUvinza ipo Mkoa gani?
Ufafanuzi ni kwamba Chumvi inapatikana sana UvinzaGani? Au ghani, kitendo cha kuimba mashairi, naomba ufafanuzi
Uvinza ipo kigomaUfafanuzi ni kwamba Chumvi inapatikana sana Uvinza
Kigoma Mkoa ambao umepakana na BurundiUvinza ipo kigoma
Burundi kuna ujumburaKigoma Mkoa ambao umepakana na Burundi
Bujumbura ndo ntaendaBurundi kuna ujumbura
Ntaenda kazini kila uchwaoBujumbura ndo ntaenda
Ntaenda kazini kila uchwao
Wenzangu ndio nini. Sema wezanguUchwao ni kutoka kwa jua, au sio waswahili wenzangu
Wezangu ni nini hiyoWenzangu ndio nini. Sema wezangu
Wezangu ni nini hiyo
Alichomaanisha ni kipi[emoji2960][emoji2960]Hiyo hata mimi sijaelewa alichomaanisha
Alichomaanisha ni kipi[emoji2960][emoji2960]