Wakilewa wanavua nguoMabaya mengi hufanyika watu wakilewa
Wakilewa wanashindwa kujitambuaMabaya mengi hufanyika watu wakilewa
Nguo za mtumba zimeadimikaWakilewa wanavua nguo
Zimeadimika kweli, wachina wanazalisha midosho yakutoshaNguo za mtumba zimeadimika
Zimeadimika kweli, wachina wanazalisha midosho yakutosha
Nae kama hayupo.?Yakutosha kumpenda ulie nae
Ya kutosha halafu haina uboraZimeadimika kweli, wachina wanazalisha midosho yakutosha
Nae ameafiki mawazo yakoYakutosha kumpenda ulie nae
Hayupo ameenda kwa mchepukoNae kama hayupo.?
Ubora wazo ni siku chache ukifua inafubaaYa kutosha halafu haina ubora
Inafubaa kama Yanga ambavyo haina mvutoUbora wazo ni siku chache ukifua inafubaa
Mchepuko tena. Sio kaenda kwao. KujifarijiHayupo ameenda kwa mchepuko
Hayupo? Inawezekana hujakutana nae, pasi na shaka yuko mahali ni suala la muda.Nae kama hayupo.?
Mvuto wanao wanaojitunzaInafubaa kama Yanga ambavyo haina mvuto
Kujifariji ni kujidanganyaMchepuko tena. Sio kaenda kwao. Kujifariji
Kujidanganya kwa kunywa pombe au kutumia mihadarati kuna weza kukupa faraja ya muda.Kujifariji ni kujidanganya
Muda nao utakuja kukuhukumuKujidanganya kwa kunywa pombe au kutumia mihadarati kuna weza kukupa faraja ya muda.
Kukuhukumu tu bila ya kukusikiliza ni kukuonea.Muda nao utakuja kukuhukumu
Kukuonea siwezi ila haki itasimamaKukuhukumu tu bila ya kukusikiliza ni kukuonea.