Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Kukuonea siwezi ila haki itasimama
[emoji16][emoji16] lugha gongana hazitakiwiItasimama kama akikaa[emoji16]
[emoji16][emoji16] lugha gongana hazitakiwi
Perception zinaletaga fikra zingineHazitakiwi based on your perception
Perception zinaletaga fikra zingine
Akili nayo kuna muda inataka kutuliaZingine zinasumbua sana akili
Tulivu ni peponi tu. Kwingine kote purukushaniKutulia inahitaji uwepo wa sehem tuluvu
Purukushani nyingi maishani ziinaleta ukomavu.Tulivu ni peponi tu. Kwingine kote purukushani
Purukushani nyingi maishani ziinaleta ukomavu.
Maisha ni mipangoMwili nao huchoka sababu ya misukosuko ya maisha
Mipango sio matumiziMaisha ni mipango
Matumizi yakizidi mapato ni majangaMipango sio matumizi
Matumizi yenyewe lazima yawe na mipangoMipango sio matumizi
Majanga yenyewe ni kuyaepuka kwa kufanya biasharaMatumizi yakizidi mapato ni majanga
Biashara nazo pia majanga mengiMajanga yenyewe ni kuyaepuka kwa kufanya biashara
Mengi alikua tajiri mwenye upendoBiashara nazo pia majanga mengi
Upendo nampemda yule dadaMengi alikua tajiri mwenye upendo
Upendo ni pande mbili yaani mpenda na mpendwa..Mengi alikua tajiri mwenye upendo