Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Upumbavu ni maradhi
Kabisa ni Zaid ya sanaMaradhi haya yanayohusisha mfumo wa upumuaji sio ya kuyachukulia poa kabisa
Sanaa na michezoKabisa ni Zaid ya sana
Michezo ilivyo soda na kuzorota TZ kanakwamba hatuna vijana au ushindani,hamasa za michuano!!Sanaa na michezo
Michuano ya mbio za urais imeanzaMichezo ilivyo soda na kuzorota TZ kanakwamba hatuna vijana au ushindani,hamasa za michuano!!
Michuano ya mbio za urais imeanza
Mapema sana wakati hakuna alichofanyaImeanza naona. Mama ameanza kujinadi mapema
Mapema sana kwani sisi tunapanga nae anapenga LAKINI mungu anafanya atakayo!!!Imeanza naona. Mama ameanza kujinadi mapema
Mapema sana kwani sisi tunapanga nae anapenga LAKINI mungu anafanya atakayo!!!
Kazi ni kazi ili mrad mkono uende kinywaniAtakayosema kwenye sera zake sijui kama atayafanyia kazi
Kinywani ndipo pa kwanza kupawazaKazi ni kazi ili mrad mkono uende kinywani
Kupawaza shimon ni kupoteza muda, kula bataKinywani ndipo pa kwanza kupawaza
Bata nao ni wachafuKupawaza shimon ni kupoteza muda, kula bata
Wachafu ndo watamBata nao ni wachafu
Watamu leo ila maumivu baadaeWachafu ndo watam
Baadae SanaWatamu leo ila maumivu baadae
Sana yule aliimba na kidumu mulika mwiziBaadae Sana
Sana yule aliimba na kidumu mulika mwizi
Hachomoki kule naigeria kina obo, akwa wanawasubiria mchichaMwizi akiiba ndani ya soko la k/koo hachomoki
Hachomoki askari ktk show la gwarideMwizi akiiba ndani ya soko la k/koo hachomoki