Rombo ipo moshiMoto wa ardhini unawaka huko Rombo.
Moshi wapo wachagaRombo ipo moshi
Wachaga na wapareMoshi wapo wachaga
Wapare ni bahiliWachaga na wapare
Bahili kama wewe sijaona.Wapare ni bahili
Bahili kama wewe sijaona.
Bahili haendi mbinguniSijaona ubaya wa kuwa bahili
Nitaenda kumuona bibi keshoMbinguni nitaenda
Kesho sio siku nzuri kupenda kusafiriNitaenda kumuona bibi kesho
Kusafiri mchana ni vizuri kuliko usikuKesho sio siku nzuri kupenda kusafiri
Usiku iwe mchana ila Jumanne ni siku mbayaKusafiri mchana ni vizuri kuliko usiku
Usiku iwe mchana ila Jumanne ni siku mbaya
Kuna nn??Mbaya zaidi leo mitandao ya kijamii mingi imegoma kufanya kazi
NK kirefu chake NakadhalikaKuna nn??
Shida ni makampuni ya mitandao ya simu ya huku....voda...airtel...tgo..zantel..halotel n.k
NK kirefu chake Nakadhalika
Mwanzo ni mtamu jamaniNakadhalika kilatini wanaita et cetera (etc).. ni neno linalotumika ukiwa unaorodhesha vitu ambavyo hautakamilisha.
Kwa maana ya kwamba, kuna vitu vyengine ukiacha vile ulivyoorodhesha hapo mwanzo.
Mwanzo ni mtamu jamani
Sasa uamke uanze kupambanaJamani eeh, acha nikapumzike sasa