Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Shufwa ongeza uzito wa mezani...Nne ni namba shufwa
meani pachafuShufwa ongeza uzito wa mezani...
Pachafu panahitaji kusafishwameani pachafu
lusafishwa kwa damu ya yesuPachafu panahitaji kusafishwa
Yesu yasemekana amuacha Mkewe na kwenda mbingunilusafishwa kwa damu ya yesu
Kwenda mbinguni sio kama kwenda uzunguni.Yesu yasemekana amuacha Mkewe na kwenda mbinguni
Uzunguni hakuna NjaaKwenda mbinguni sio kama kwenda uzunguni.
Inaua kidogo
Kidogo n kitam kuliko kikubwaInaua kidogo
Kikubwa kisipokutosha,kidogo hakina maana.Kidogo n kitam kuliko kikubwa
Hizo mambo za kukaziana tuwaachie under 20Maana gan unaleta hizo
Shufwa ni namba inayogawanyika kwa mbili
Mbili pia ni namba tasaShufwa ni namba inayogawanyika kwa mbili
Tasa ni neno linalotumika kwa mwanamke ambae hajapata watoto, neno lingine ni ugumbaMbili pia ni namba tasa
Ugumba kwa wanaume unaitwajeTasa ni neno linalotumika kwa mwanamke ambae hajapata watoto, neno lingine ni ugumba
Unaitwaje sijui labda tumuulize ticha wa kiswahiliUgumba kwa wanaume unaitwaje
Kiswahili.si.hata wewe ni ticha tusaidieUnaitwaje sijui labda tumuulize ticha wa kiswahili