Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,218
Wetu wa halali, lakini.Tu tulizane na wapendwa wetu
Nini husababisha njaa
Njaa husababishwa na uhaba wa chakulaNini husababisha njaa
Jamani hata mimi sielewi imekuaje
Imekuaje mpaka umefikia hali hiiJamani hata mimi sielewi imekuaje
Hii hali ya hewa inasababisha nikose usingiziImekuaje mpaka umefikia hali hii
Usingizi wa alfajiri ni mtamuHii hali ya hewa inasababisha nikose usingizi
Mtamu sana kama asaliUsingizi wa alfajiri ni mtamu
Asali ya nyuki wadogo ni dawaMtamu sana kama asali
Asali yenu inanifanya nipatwe na usingizi hasa nikila mchana.Mtamu sana kama asali
Dawa ya ujinga ni maarifaAsali ya nyuki wadogo ni dawa
Maarifa hayana mwishoDawa ya ujinga ni maarifa
Maarifa hayana mwisho
Kutojifunza kwake kwa bidii kumesababisha kafeliMwisho wa kupata maarifa ni kuamua kutojifunza.
Kutojifunza jambo jipya mara kwa mara,humfanya mtu kuwa duni kimaarifa.Mwisho wa kupata maarifa ni kuamua kutojifunza.
Maarifa wengi watanzania hatuna ila ubinafsiKutojifunza jambo jipya mara kwa mara,humfanya mtu kuwa duni kimaarifa.
Ubinafsi ni matokeo ya upendo wa kweli kutowekaMaarifa wengi watanzania hatuna ila ubinafsi
Kutoweka kwa Washawasha kwenye Uzi huu ni dalili ya Mshindi kupatikanaUbinafsi ni matokeo ya upendo wa kweli kutoweka