bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Kidogo dogo aah kidogo kile,
Oyaa mshtue huyo wa mbele yakeKidogo dogo aah kidogo kile,
Kidogo dogo ah kidogo maamaa...oyaaa tii tii oyaaa
Mbele yake yupo mlinziOyaa mshtue huyo wa mbele yake
Nalog off
Mlinzi mkuuMbele yake yupo mlinzi
Mkuu habari ya leo?Mlinzi mkuu
Habari ya leo ni mbaya man utd imefungwaMkuu habari ya leo?
Imefungwa kambaHabari ya leo ni mbaya man utd imefungwa
Nalog off
Kama imefungiwa mbuziImefungwa kamba
Mbuzi chomaKama imefungiwa mbuzi
Choma kama bado mbichiMbuzi choma
Mbichi kabichiChoma kama bado mbichi
Kabichi ni mboga ya ajabu sanaMbichi kabichi
Sana mwananguKabichi ni mboga ya ajabu sana
Mwanangu jana Man kafanya siku iwe ndefuSana mwanangu
Ndefu sana kwa sababu alipigwa kipigo cha mbwa mwiziMwanangu jana Man kafanya siku iwe ndefu
Mwizi kavunja dukaNdefu sana kwa sababu alipigwa kipigo cha mbwa mwizi
Duka lenyewe lime filisikaMwizi kavunja duka
Filisika uijue tabia ya mkeoDuka lenyewe lime filisika
Mkeo yupo?Filisika uijue tabia ya mkeo