Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Monalisa hamshindi uzuri WemaMkali sana.yule mrembo.ana sura km.monalisa
Wema alikua zamaniMonalisa hamshindi uzuri Wema
Nalog off
Zamani nilikuwa bingwa ktk michezo na riadha..Wema alikua zamani
Zamani nilikuwa bingwa ktk michezo na riadha..
Rahisi kusema ila kwa vitendo ni ngumu...Riadha ni moja ya mchezo rahisi
Ngumu usipotia bidiiRahisi kusema ila kwa vitendo ni ngumu...
Bidii imemfanya mkimbiaji ashinde mbio za OlympicNgumu usipotia bidii
Olympic itafanyika liniBidii imemfanya mkimbiaji ashinde mbio za Olympic
Olympic itafanyika lini
Unadhani yule kijana ataweza kupata ushindiLini we unadhani
Unadhani yule kijana ataweza kupata ushindi
Njaa nayo haina hodiUshindi upi huo, labda ashinde njaa
Hodi hodi naingiaNjaa nayo haina hodi
Naingia chumbani kulala.Hodi hodi naingia
Kulala sana ni UgonjwaNaingia chumbani kulala.
Ugonjwa wa akiliKulala sana ni Ugonjwa
Akili za kuambiwa changanya na zakoUgonjwa wa akili
Zako akili ziko vizuriAkili za kuambiwa changanya na zako
Vizuri kama unalijua hiloZako akili ziko vizuri
Nalog off
Hilo nalifahamu mudaVizuri kama unalijua hilo