Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Hahaha nacheka Kuona umenywea !!Haha haha haha haha
Umenywea kwa ma bandle ya internet ya sasaHahaha nacheka Kuona umenywea !!
Sasa najipanga upya sinto toa ushauri wa bureUmenywea kwa ma bandle ya internet ya sasa
Bure kwanza malipo badaeSasa najipanga upya sinto toa ushauri was bure
Baadae nitakutumia ule muamalaBure kwanza malipo badae
Muamala utumwe harakaBaadae nitakutumia ule muamala
Haraka kabisaMuamala utumwe haraka
Kabisa suala la tozo liangaliwe upyaHaraka kabisa
Liangaliwe upya Kwa kuwa linatukera sisi raiaKabisa suala la tozo liangaliwe upya
Raia tunakereka ila hatuna la kufanyaLiangaliwe upya Kwa kuwa linatukera sisi raia
Nalog off
Lá kufanya ni kuisusia huduma yaoRaia tunakereka ila hatuna la kufanya
Yao huduma sio rahisi kuisusia, wengi wetu mazingira yanatubanaLá kufanya ni kuisusia huduma yao
Nalog off
Yanatubana kama bananaYao huduma sio rahisi kuisusia, wengi wetu mazingira yanatubana
[emoji529] ni kingereza ,Kiswahili ndiziYanatubana kama banana
Ndizi kwa kireno ni kishtobe[emoji529] ni kingereza ,Kiswahili ndizi
Kishtobe ni kireno chá wapi mzee baba???Ndizi kwa kireno ni kishtobe
Baba ni ngazi yenye hadhi ya juu ktk familiaKishtobe ni kireno chá wapi mzee baba???
Nalog off
Familia inamtegemea yeye kukidhi mahitaji yao.Baba ni ngazi yenye hadhi ya juu ktk familia