Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Utandawazi una gharama zake malipo ni kuangamia .Kisasa ndo utandawazi
Kuangamia inategemea na muhuskaUtandawazi una gharama zake malipo ni kuangamia .
Muhusika ni waliyo chini ya umri....Kuangamia inategemea na muhuska
Umri wa kupiga kura ni miaka 18Muhusika ni waliyo chini ya umri....
Miaka 18 iliyopita nilihitimu chuo na kufanikiwa degrees!!Umri wa kupiga kura ni miaka 18
Degree ya kwanza kwenye maisha ni kujitambuaMiaka 18 iliyopita nilihitimu chuo na kufanikiwa degrees!!
Kujitambua bila kujithamini ni kukosa mwelekeo..Degree ya kwanza kwenye maisha ni kujitambua
Mwelekeo wa maisha ya mtu hutegemea maamuzi anayoyafanyaKujitambua bila kujithamini ni kukosa mwelekeo..
Anayoyafanya akiwa mwenye akili timamuMwelekeo wa maisha ya mtu hutegemea maamuzi anayoyafanya
Akili timamu ni kigezo cha kujiunga na JeshiAnayoyafanya akiwa mwenye akili timamu
Jeshi ni kundi la watu wanaosubiri amri na kufuata maelekezoAkili timamu ni kigezo cha kujiunga na Jeshi
Jeshi hili hili la tanzagizaAkili timamu ni kigezo cha kujiunga na Jeshi
Tanzagiza ipo gizani haswaJeshi hili hili la tanzagiza
Haswa wanalazimisha mambo yasiyo ya kweli tuyaamini wanapanda mbegu inayotugawa wananchiTanzagiza ipo gizani haswa
Wananchi wamepata akiki ya kuelewa penye ukweli na uongoHaswa wanalazimisha mambo yasiyo ya kweli tuyaamini wanapanda mbegu inayotugawa wananchi
Uongo huwa haudumu na mwisho wake ni mbaya sanaWananchi wamepata akiki ya kuelewa penye ukweli na uongo
Mbaya sana kwa kuwa raia hawatokuamini tenaUongo huwa haudumu na mwisho wake ni mbaya sana
Mchumba wako anaitwa..Tena mwaka unaisha sijapata mchumba