T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Mpendwa mimi namshukuru MUNGU nimeamka salama kabisaLenie ameamka salama kabisa, vipi wewe mpendwa
Karibu mpaka ndaniMpendwa mimi namshukuru MUNGU nimeamka salama kabisa
Karibu
Karibu mpaka ndani
Nini maana ya mbususu?Ndani kuna nini
Mbususu ni chakula kitamu zaidi duniani na huliwa na wakubwa na kwa kificho hakiliwi.hadharaniNini maana ya mbususu?
Hadharani natamka wazi kuwa nimemmiss baba mtumishi Pep .Mbususu ni chakula kitamu zaidi duniani na huliwa na wakubwa na kwa kificho hakiliwi.hadharani
Pep una mloving huyu mtu sio kdogo kwa kweli.. Saint AnneHadharani natamka wazi kuwa nimemmiss baba mtumishi Pep .
Saint Anne ni mwanamke mcha MUNGUPep una mloving huyu mtu sio kdogo kwa kweli.. Saint Anne
MUNGU wangu [emoji4]Saint Anne ni mwanamke mcha MUNGU
Wangu bado hajazaliwaMUNGU wangu [emoji4]
Hajazaliwa ambaye hatumjuiWangu bado hajazaliwa
Hatumjui kwasababu, hatuna taarifa naeHajazaliwa ambaye hatumjui
Mshindi ameshajulikana na kwa jina ni Washawasha tunasubiri atangazwe rasmiHatimae mimi ni mshindi
Rasmi umejitoa kweny shindanoMshindi ameshajulikana na kwa jina ni Washawasha tunasubiri atangazwe rasmi
Shindano linanihusu sana ila nimezisikia habari hizo za chinichiniRasmi umejotoa kweny shindano
Chinichini watu wanaongea sana, ila ukifatilia mengi yana ukweliShindano linanihusu sana ila nimezisikia habari hizo za chinichini
Ukweli ni mpango wetuChinichini watu wanaongea sana, ila ukifatilia mengi yana ukweli
Mpango wetu na Saint Anne ni kuwa na watoto watatu. Wawili wa kike
Wawili wa kike majina yao yatakuwa ni Rebecca na Rehema.Mpango wetu na Saint Anne ni kuwa na watoto watatu. Wawili wa kike