Jiko la gesi mkuu? ama la umemeLeo nmepata jiko
Ahsante kwa yote mama mtumishiMtumishi huo wimbo mzuri sana.
Asante😊
mtumishi wa MunguAhsante kwa yote mama mtumishi
Mungu atakusaidiamtumishi wa Mungu
Atakusaidia kwa kila umuombaloMungu atakusaidia
Atakusaidia kwa kila umuombalo
Kisasa? hata kizamanUmuombalo liwe lenye tija kwa jamii ya kisasa.
Mtumishi You're loved😉Ahsante kwa yote mama mtumishi
Kizamani tulikuwa tunakoboa mpunga kwa kinu.Kisasa? hata kizaman
Kinu na MchiKizamani tulikuwa tunakoboa mpunga kwa kinu.
You're loved mtoto mzuri wa baba mtumishi 'pepu'Mtumishi You're loved😉
Pepu🤣🤣You're loved mtoto mzuri wa baba mtumishi 'pepu'
You found a way to bypass that 'pepu'?Pepu🤣🤣
St Anne Loves you😘
Mshindi ni mimi,afe kipa afe beki😂😂😂😂You found a way to bypass that 'pepu'?
Niliiweka kimaksudi kabisa mkose namna ya kuendelea nitangazwe mshindi 🤣🤣
[emoji1787]Mchi ulisababishaga hadi leo viganja vyangu ni vigumu kiasi nikishika mkono wa wifey huwa namkwaruza
Mchi ulisababishaga hadi leo viganja vyangu ni vigumu kiasi nikishika mkono wa wifey huwa namkwaruzaKinu na Mchi
Beki wa Liverpool, VVD alipitwa na Pulisic kama amesimamaMshindi ni mimi,afe kipa afe beki😂😂😂😂
Shamba halijatoa mboga zinazoeleweka recently kiasi watu wanataka kulikimbia 🤣🤣🤣
Namkwazura kipenzi changu na mikono yangu inayoshinda shamba.
🤣🤣🤣🤣Shamba halijatoa mboga zinazoeleweka recently kiasi watu wanataka kulikimbia 🤣🤣
Umeanza kugundua watu hawapo interested kabisa na kilimo cha kijani?🤣🤣🤣🤣
Umeanza