Wa mwisho ndiyo mshindi

Usitubanie kutoa sifa
.......
Nampenda yeye ye ndo yeye
Wala siwezi kwenda kwa mwingine
Ye ndo yeye wote wanajua mi nipo na yeye

...
Silalamiki sina viatu wenzangu hawana miguu
Hawalaumu wanamshukuru aliye juu
Aliye juu kwenye hii michano ni WEWE

Wote tunajua kwamba huwezi kwenda kwa mwingine, Yeye ndio yeye

Huyo Mtoto huyo...

Huyo Binti huyo...

Kwao walinzi wakali hatari hatari...

Baba Mtumishi akampigia simu huyo anamrusha stimu...

Analeta mapozi kesho wakutane Nando's...

Baba Mtumishi hakufa moyo kesho ikafika...

Nando's wakafika wakawa wanaburudika...

Bado Mtoto hamuelewi Baba Mtumishi anataka kupajua kwake...

Akaone mambo yake...

Baba Mtumishi hakutaka kumficha lakini moyo unasita...

Vyote alivyomtajia kwake atavikuta?...

Au Baba Mtumishi atagonga ukuta Kachaa ataumbuka...

Haaaa wamefika home...

Baba Mtumishi akamkaribisha kwa makeke...

Karibu karibu mgeni...

Jisikie upo Nyumbani sebuleni...

Kwakua umekuja leo wewe sema nini unataka, Mama Mtumishi akajibu Chips Kuku 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ku umeme kwao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Chips kuku
Kila kitu mwake mwake yoh yoh.

....
Leo naona bora jua
Kesho naona bora mvua
Uko wapi daktari
Mwenzio ugonjwa utaniuwa
Kwenye joto siwezi kaa
Baridi ndo balaa aah
Siwezi kula ingawa nahisi njaa
Sina hela ka wenzangu ila kusaka naweza
Nachopata namshukuru bora siku naisogeza


We ndo mpenzi wangu
Wendo kioo changu
Nikipendeza mtaani we ndo
Designer wangu wangu
mshauri wangu wangu
Wa nyendo zangu zangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…