Siusikii kwa sababu mwendazake hayupoSana, huu msemo siku hizi siusikii.
Enzi zake wakati msemo huu unabamba ilikuwa ukimsalimia mtu, jibu la salamu utasikia 'Sana'
Hayupo na hatutomuona mileleSiusikii kwa sababu mwendazake hayupo
Milele daima tutamkumbukaHayupo na hatutomuona milele
Nalog off
Tutamkumbuka kwa matesoMilele daima tutamkumbuka
Mateso gani Tena mkuuTutamkumbuka kwa mateso
Nalog off
Mkuu wa majeshi alitupelekesha sanaMateso gani Tena mkuu
Sana sana kwenye kuzibania pesaMkuu wa majeshi alitupelekesha sana
Nalog off
Pesa sabuni ya rohoSana sana kwenye kuzibania pesa
Roho haifiPesa sabuni ya roho
Haifi CCM kamwe ila tuwe makini na migogoroRoho haifi
Nalog off
Migogoro ya kifamilia ni hatari kwa afya ya watotoHaifi CCM kamwe ila tuwe makini na migogoro
Watoto wadogo bye byeMigogoro ya kifamilia ni hatari kwa afya ya watoto
Bye bye tunasepa Ukraine hivyo kukiwasha cha WW IIIWatoto wadogo bye bye
Nalog off
III mbagaBye bye tunasepa Ukraine hivyo kukiwasha cha WW III
Msamiati mpya wa KiswahiliUgandata ni msamiati mpya
Nalog off
Kiswahili lugha ya TaifaMsamiati mpya wa Kiswahili
Taifa Stars sijui nitawaona lini kwenye Michuano ya Kombe la DuniaKiswahili lugha ya Taifa
Nalog off
Dunia inaenda kasiTaifa Stars sijui nitawaona lini kwenye Michuano ya Kombe la Dunia
Kasi ya dumaDunia inaenda kasi
Kasi ya duma