Kwanza malipo ni hapa hapa Duniani
Milima haikutani lakini Binaadam hukutanaDunian tunapita eenh, kila kitu kitabakia....bnaadam n mchanga, itabaki milelee n milima
Hukutana japo baada ya miaka mingiMilima haikutani lakini Binaadam hukutana
Miaka mingi imepita tangu kupata UhuruHukutana japo baada ya miaka mingi
Nalog off
Uhuru kamili tutaupata lini?Miaka mingi imepita tangu kupata Uhuru
Lini utachukua fomu Kiongozi?Uhuru kamili tutaupata lini?
Nalog off
Kiongozi nina short ya laki mbili ya kulipia fomu ndio naihangaikiaLini utachukua fomu Kiongozi?
Naihangaikia sana kuipata Jezi ya mazoezi ya SimbaKiongozi nina short ya laki mbili ya kulipia fomu ndio naihangaikia
Nalog off
Simba Sport club ndio sisi utopolo hawatuweziNaihangaikia sana kuipata Jezi ya mazoezi ya Simba
Hawatuwezi hata kidogo pamoja ya kuwa Ligi kuu Kombe ni lao Msimu huuSimba Sport club ndio sisi utopolo hawatuwezi
Nalog off
Huu ugomvi wa Urusi na Ukraine utaisha lini!?Hawatuwezi hata kidogo pamoja ya kuwa Ligi kuu Kombe ni lao Msimu huu
Utaisha lini sijui, maana mambo ndio yanazidi kupamba moto.Huu ugomvi wa Urusi na Ukraine utaisha lini!?
Nalog off
Muhimu sanaUtaisha lini sijui, maana mambo ndio yanazidi kupamba moto.
Amani muhimu
Off target zote zilizopigwa na liverpool ni za kipumbavu.Muhimu sana
Nalog off
Kipumbavu sana inabidi iletwe Bongo kuja kushiriki ligi kuuOff target zote zilizopigwa na liverpool ni za kipumbavu.
Kuu na la muhimu kuliko yote ni kumshukuru Mungu jinsi anavyotulinda Mimi na baba mtumishi PepKipumbavu sana inabidi iletwe Bongo kuja kushiriki ligi kuu
Nalog off
Sana yupo na atakuja kujibu quote wa mama mtumishi wake.Mtumishi PEP yupo? Msalimie sana
Mtumishi wake kalikimbia kanisaSana yupo na atakuja kujibu quote wa mama mtumishi wake.
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMtumishi wake kalikimbia kanisa
Nalog off