bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Koko la pilauTumchape kichapo cha mwizi koko
Pilau la leo nyama nyingiKoko la pilau
Nyingi zimeliwa na wajanjaPilau la leo nyama nyingi
Wajanja wamemuwahi, ye si alileta poziNyingi zimeliwa na wajanja
Nalog off Z
Pozi ni kwa mabishooWajanja wamemuwahi, ye si alileta pozi
Mabishoo wa TzPozi ni kwa mabishoo
Nalog off Z
Tz wabongo msumari viongozi nyundoMabishoo wa Tz
Nyundo ya Fundi SeremalaTz wabongo msumari viongozi nyundo
Nalog off Z
Seremala tapeli bora kinyoziNyundo ya Fundi Seremala
Kinyozi ndiye fundi pekee msema ukweliSeremala tapeli bora kinyozi
Sana sana huu uzi ufutweUkweli ni mzuri ila kuusikia ni mchungu sana
Ufutwe ili wajanja washindeSana sana huu uzi ufutwe
Washinde njaaUfutwe ili wajanja washinde
Nalog off Z
Njaa haina baunsaWashinde njaa
Baunsa wa kitambaa cheupeNjaa haina baunsa
Cheupe ndan chekunduBaunsa wa kitambaa cheupe
Chekundu kitambaa chenye rangi hiyo kinatafutwaCheupe ndan chekundu
Kinatafutwa ili kiuzwe!Chekundu kitambaa chenye rangi hiyo kinatafutwa
Kiuzwe MnadaniKinatafutwa ili kiuzwe!
Nalog off Z