Ngojera tumejifunza darasa la ngapi?Hizi ni ngojera
Ngapi ngapi matokeo ya Arsenal na Spurs? Sijapata matokeoNgojera tumejifunza darasa la ngapi?
Matokeo hiyo KwioNgapi ngapi matokeo ya Arsenal na Spurs? Sijapata matokeo
Kwio ina maana yule ndege kanyonyolewa manyoya yote?Matokeo hiyo Kwio
Yote kheliKwio ina maana yule ndege kanyonyolewa manyoya yote?
Kheli yako wewe ndio kheri yangu mimiYote kheli
mimi ndio wa mwishoKheli yako wewe ndio kheri yangu mimi
Mimi mwenyewe nataka kua wa mwisho yaani kshindi ila umenikomaliaa duuh!Kheli yako wewe ndio kheri yangu mimi
Wa mwisho ndio mshindimimi ndio wa mwisho
Mwisho wako ni mbaya sanaaa[emoji1787][emoji1787]mimi ndio wa mwisho
Mshindi hapatikani mpaka pale tutakaporuhusiwa kuingiza maneno ya kichina huku kwa hii threadWa mwisho ndio mshindi
mshindi ndio mimiWa mwisho ndio mshindi
Mimi ndio mshindi mwenyewe nasubiri kitita changumshindi ndio mimi
kipaji chako ni kunibishiaSanaaani kipaji
Changu ni changu chako ni chetuMimi ndio mshindi mwenyewe nasubiri kitita changu
Chetu tutagawana nusu kwa nusuChangu ni changu chako ni chetu
Chetu kidogo twakigawanaChangu ni changu chako ni chetu
Nusu ya ushindi wangu nampa anaeniquote kwa kutaha faida 5 za hii threadChetu tutagawana nusu kwa nusu