Auibu hii ya madai ya Madaktari kutaka huduma za afya ziboreshwe lakini serikali haioni inachoona ni kile cha maslahi tu na kung'ang'ania hapo kutupotosha, sijui CCM ikiangushwa viongozi watajificha wapi.Mwisho wa ubaya aibu.
wapi pa kwenda sisi walala hoi tunwoshindwa kulipia matibabu hospital za binafsi ndio tatizo..lakini magamba wao wataenda nje nchi ikichafuka.
Aibu pale taulo linapoanguka mbele ya mama mkwe
Ikichafuka unaitoa unaweka ingine ili BF wako asiione hyo shuka iliyotapakaa Shedo nyekundu.
Mwisho wa ubaya aibu.
Nyekundu Kama Rangi iongezwe kwenye bendera yetu kureflect matukio mbalimbali ya umwagaji damu
damu salama inahitajika jaman kwa ndugu zetu wagonjwa wenye upungufu wa damu.usisahau kuchangia hata kama hakuna madaktari wa kuwahudumia lakini sisi tuwe tumewajibika kivyetu.
Amefulia kwa sababu alendekeza misosi, mitungi na pamba na kusahau kipaji
mzizima ni kiwanda kinachotengeneza unga wa ngano....