Kali io.. Itakua ni kali ya mwakaYataanzia pale atakapo pigwa ngumi kali
Mwaka mpya mapenzi mapya changamoto mpyaKali io.. Itakua ni kali ya mwaka
Mpya ikichakaaa itupwe jalalaniMwaka mpya mapenzi mapya changamoto mpya
Jalalani kuna kila kitu, chenye thamani na kisicho thamani..Mpya ikichakaaa itupwe jalalani
Wahenga walisema kitanda hakizai haramuJalalani kuna kila kitu, chenye thamani na kisicho thamani..
Hii inahusiana na yale maneno ya wahenga..
Haramu ni haramu tu hata kitandanda hakizai haramu ila bado maisha yanasonga.Wahenga walisema kitanda hakizai haramu
Aliyeturoga kafa mkuuUgali Ndio chakula pekee bongo huliwa Mchana hivi ni Nan aliyeturoga?
Mkuu wa Jamiii fulani ahudhuria mkutano Mkuu wa jamii hiyo kongweAliyeturoga kafa mkuu
Kongwe maana yake ni aliyedumu, tumalizie hapa mimi ndo Mshindi.Mkuu wa Jamiii fulani ahudhuria mkutano Mkuu wa jamii hiyo kongwe
Aiseh kwanini.Kongwe maana yake ni aliyedumu, tumalizie hapa mimi ndo Mshindi.
Usikomenti aiseh!
Aisee...huwezi Kua mshindi kirahisi hivyoKongwe maana yake ni aliyedumu, tumalizie hapa mimi ndo Mshindi.
Usikomenti aiseh!
Hivyo basi nalala mbereeee!Aisee...huwezi Kua mshindi kirahisi hivyo
mawazo usawa huu wa bibi mwakitozolock haitoki bar ladba upunguze mawazo
mberee giza, nyuma kizaHivyo basi nalala mbereeee!
Kiza kinenemberee giza, nyuma kiza
Kinene kitumbua kikitiwa mafutaKiza kinene
Mafuta mengi sio mazuri kwa afyaKinene kitumbua kikitiwa mafuta
Mafuta mengi sio mazuri kwa afya