Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Wanaishi kwa fujo sana, wakifa wakaenda mbinguni, kwa kweli kutakuwa hakukaliki.Ule mkoa wagumu wanaishi
Kunatofauti kati ya wajananja na wagumuUle mkoa wagumu wanaishi
Hakukaliki majira ya baridi hasa kule BabatiWanaishi kwa fujo sana, wakifa wakaenda mbinguni, kwa kweli kutakuwa hakukaliki.
Babati nitaenda keshoHakukaliki majira ya baridi hasa kule Babati
Sawa, muhimu ni muongozo ujitoshelezeMuongozo ni muhimu ili twende sawa
Ujitosheleze kwa mahitaji yako binafsi bwana, huo ndio ukubwa.Sawa, muhimu ni muongozo ujitosheleze
Ukubwa wa rungu sio ulijaliUjitosheleze kwa mahitaji yako binafsi bwana, huo ndio ukubwa.
Ulijali ni kimoja chaliUkubwa wa rungu sio ulijali
Chali chali au iwe kichali chali ulalaji huu kama hujauzoea hupati usingiziUlijali ni kimoja chali
Usingizi unaninyemelea, naenda kulalaChali chali au iwe kichali chali ulalaji huu kama hujauzoea hupati usingizi
Kulala mapema kuna umuhimu wakeUsingizi unaninyemelea, naenda kulala
Wake wa mawaziri wana jambo lao keshoKulala mapema kuna umuhimu wake
Kesho asubuhi,Mimi na Baba Mtumishi tutafunga safari hadi kwa Lenie kuja kukusalimia mtumishi mwenzetu.Wake wa mawaziri wana jambo lao kesho
Mwenzetu bado hajafika, wacha tumsubiriKesho asubuhi,Mimi na Baba Mtumishi tutafunga safari hadi kwa Lenie kuja kukusalimia mtumishi mwenzetu.
Tumsubiri hadi saa ngapi sasa?Mwenzetu bado hajafika, wacha tumsubiri
Sasa yule mgeni aliekuwa anasubiriwa ameshawasiliTumsubiri hadi saa ngapi sasa?
Ameshawasili humu ndani?Sasa yule mgeni aliekuwa anasubiriwa ameshawasili
Ndani ya huu mjengo ameshawasiliAmeshawasili humu ndani?