Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Kujifurahisha ni sehemu ya maisha, vichwa vikipata moto na habari ngumu kama za kujadili uganga vs uchumi, na zile za phd za kuchonga vs za kusomea darasani, uzi huu unatupa burudani.Vinginevyo mshindi aunde sentensi tata na ngumu kuipatia muendelezo. Bila shaka huyo ndo ataibuka kinara wa kinyang'anyiro hiki cha ubingwa wa kujifurahisha. π ππΎ
Ujanja ni kuepuka ngono, kuna gono na UTI sugu.Burudani ni ngono tu... hivi vyote ujanja ujanja π
#NATANIA
Kishindo kitakacho tutisha hata tukiwa mbali.Sugu lazima apate jimbo 2025 tena kwa ushindi wa kishindo!
Hii sio sentensi ila masista duu wa mjini wengi wana U.T.I sugu siku hizi... kuweni makini hasa na hao waliojazia matako makubwa na malaini π ππ€£ππΎUjanja ni kuepuka ngono, kuna gono na UTI sugu.
Mbali ni kule ambako binadamu hatuwezi kufikia.Kishindo kitakacho tutisha hata tukiwa mbali.
Wangu ni nyimbo io wewe.. Acha roho mbayaaaa uwe wa mwisho ili ugundue nini? πππRais amenipa mamlaka ya kuufunga huu uzi, kuanzia leo hii ni comment ya mwisho. Na mimi ndio mshindi, ukikoment baada ya hapa wewe ni mke wangu
Alisema pia, "bei ya petrol kwa lita nchini Marekani, ni ghali kuliko hapa nyumbani Tanzania".ulaya wanatamani kuja tanzania - Mama alisema
Kweli pesa hazitoshi, unavopata nyingi ndivyo matumizi yanavyoongezeka.Mpunga(pesa nyingi za kutosha) unatoshaga kwelii?
Yanavyoongezeka bila mpangilioππππKweli pesa hazitoshi, unavopata nyingi ndivyo matumizi yanavyoongezeka.